natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Mkulima wa Pili pili kichaa aina ya African Birds Eye (ABE)

    Hello Habari! Mwenye connection na wakulima wa Pili pili kichaa zile kali fupi nyekundu aina ya African Birds Eye chill (ABE). Please naomba unicheki.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa, awe HIV+

    Habari mimi mdada mwenye umri wa miaka 39 ni muajiriwa, nahitaji kuwa na mwenza awe na miaka 41 hadi 50. Awe HIV+, Mkristo mwenye hofu ya Mungu. Aliye tayari na serious aje PM tuzungumze.
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba Cha kupanga

    Natafuta chumba Cha kupanga maeneo ya boko basihaya, chasimba, tegeta dawasco na maeneo ya karibu na hapo. Nataka Cha 40k au 50k
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Wakuu habari zenu. Naitwa Damian nipo Temeke Dar. Elimu yangu nina degree but kazi yoyote nitafanya. Wakuu NATAFUTA KAZI yoyote halali maana hali yangu ni ngumu sana kiuchumi yani kazi yoyote itakayonifanya niishi tu. Napatikana Temeke na namba yangu ni 0612255193.
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kununua Kinondoni

    Eneo ninalopendelea kuanzia Kinondoni studio kuelekea Morocco. Budget avail:170-180ml. Sqm 600+ Pls, inbox for more!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya usafirishaji mbadala wa DHL itakayofikisha mzigo hasa Afrika Kusini chini ya wiki moja

    Kama kuna mtu anajua a company inayoweza safirisha small parcel bila regulation na vikao, yaani pay and transport sitaki mbambamba nyingi kama za DHL. Ani link up? Inchi ni za Africa hasa South Africa, Kenya na Dubai.
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta DIY enthusiasts humu tubadilishane mawazo

    Mimi naamini hakuna binadamu aliezaliwa hapa duniani akashindwa kufanya chochote ambacho binadamu mwenzie anafanya bila shida, siongelei professionals ambazo zinahitaji special training hapana, maana halisi ya DIY ni kile ambacho unaweza kufanya mwenyewe, DO IT YOURSELF. Kwangu mimi nimejikuta...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu aliyesomea Public Health/Environment Management au course ya NOSCH 1 kutoka OSHA

    Kama heading inavyosema wakuu, anahitajika mtu awe Dar hata akiwa na kazi yake hakuna shida. Mwenye sifa anicheck DM tuyajenge.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota Corolla Old 1996-2001 ya kununua

    Iwe na Engine 4A, 5A na Automatic Gearbox (manual tutaongea) Iwe imetunzwa vizuri hasa body liwe limenyooka Namba yeyote lakini bora zaidi kuanzia B, C, D Iwe popote tanzania iweze kufika Dar hata kwa gharama yetu Bei ni makubaliano kulingana na hali ya gari
  10. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ajira

    Habari Wana Jf, Mimi ni binti wa miaka 27 nimesoma diploma ya uhasibu na tangu nimemaliza sikubahatika kupata kazi zaidi ya kufanya biashara ndogo ndogo nazo zimekufa kwa kukata mtaji. Sina familia yakuitegemea labda ningeweza kuomba mtaji hivyo nawaomba ndugu jamaa na marafiki wa humu Jf kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta friji ndogo sana Arusha

    Habari. Nipo Arusha nahitaji friji ndogo sana ya kuweka chumbani. Kama unayo nicheki Kwa 0656388678
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua college au vyuo vya ufundi nje ya Tanzania kama vile Marekani, Canada n.k

    Habali wakuu? Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea. Nimejalibu njia nyingi lkn bado sijafanikiwa nikaona ngoja nijalibu kwa upande wa elimu. Mimi...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga kinondoni, wiki mbili

    Wadau natafuta chumba cha kupanga kwa wiki mbili maeneo ya kinondoni. Mi ntakua dar kikazi Tar 27 March - 08 April, hivyo chumba kiwe furnished. Maeneo ya kinondoni, au karibu na town. Whatsapp +48519634862
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Niaje katika jukwaa hili… Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 39, natafuta rafiki wa kiume mwenye umri wa miaka 40-50 tu. Vigezo: Awe single (Mgane/ Mtalaka) Awe Mkristo (Msabato atapewa kipaumbele) Lengo la vigezo, sitaki mume wa mtu maana sitakuwa huru naye. Pia nahitaji Mkristo maana...
  15. JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

    Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari Contact 0712046672
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta App inaitwa dexcon tun 8

    Habarini Naomba mwenye link ya App inaitwa dexcon tun 8 nimeitafuta sijaipata bila mafanikio.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta metal smelting furnace kit

    Habari Natafuta mashine ndogo ya kuyeyusha chuma inayotumia gesi. Kama unayo nicheki hapa au inbox.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta hii tiba ya hili tatizo langu la macho na pua

    Habari wakuu. Nina tatizo la kutokwa sana machozi nikiwa sehemu za baridi, na pia pua zangu zina tatizo la kitaalamu linaitwa Rhinorrhea (runny nose) pua zinakua zinatoa makamasi mepesi nikiwa sehemu za baridi. Tatizo la kutokwa na machozi na makamasi pia hunipata nikiwa nakula chakula...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadae awe mke

    Habari za wakati huu, Nahitaji mchumba miaka 23-27, awe mweusi, dini yoyote. Umri wangu ni miaka 22, mwanafunzi wa Degree.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu au mtu wa kufanya naye kazi ya ufundi wa magari

    Habari wakuu? Mimi nimejifunza ufundi magari na kazi nishaweza changamoto yangu ni kuwa kwa sasa Sina sehemu ya kufanyia kazi mana kunasehemu nilikuwa nimejishikiza ila kwa sasa hii sehemu ishafungwa kutokana na fundi mkuu kushindwa kulipa Kodi kwahio naomba Kama kuna fundi mechanics anahitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…