Natafuta kazi/ajira

Gyna890

Member
Nov 1, 2022
8
9
Habari Wana Jf,

Mimi ni binti wa miaka 27 nimesoma diploma ya uhasibu na tangu nimemaliza sikubahatika kupata kazi zaidi ya kufanya biashara ndogo ndogo nazo zimekufa kwa kukata mtaji.

Sina familia yakuitegemea labda ningeweza kuomba mtaji hivyo nawaomba ndugu jamaa na marafiki wa humu Jf kwa unyenyekevu naombeni kazi mkoa wowote hata nikianza kwa kujitolea na malipo kidogo nitashukuru.
 
Duh! Uko mkoa gan n una uwezo gan nje ya huu uhasibu mana kupata kaz Kwa Sasa si mchezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom