Natafuta DIY enthusiasts humu tubadilishane mawazo

Mr DIY

JF-Expert Member
Dec 24, 2016
1,111
2,320
Mimi naamini hakuna binadamu aliezaliwa hapa duniani akashindwa kufanya chochote ambacho binadamu mwenzie anafanya bila shida, siongelei professionals ambazo zinahitaji special training hapana, maana halisi ya DIY ni kile ambacho unaweza kufanya mwenyewe, DO IT YOURSELF.

Kwangu mimi nimejikuta nakuwa plumber, electrician, welder, carpenter, fundi makenika, fundi mwashi, fundi electronics nk nk nk na kila uchwao najikuta natamani kufanya vitu zaidi na zaidi sifanyi kwa kuongeza kipato no, ili uwe DIY hii unatakiwa uifanye mwenyewe kwa mapenzi yako huku ukitatua changamoto zako nyumbani kwako au kazini kwako.

Karibuni ma DIY tupeane uzoefu na changamoto
 
Kama unaweza kuvifanya vyote hivyo kwa ustadi mkubwa (kama professionals), na bila kufundishwa, bila shaka una elements za u-genius.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom