Asante ila freight cost na kodi ni kubwa mno. Yaani inazidi bei ya mashine yenyewe, Natafuta ambayo nitanunua hapa TZTembelea alibaba
Shukrani mkuu, Hawa Waja wako wapi?Nenda Waja au kampuni inayouza vifaa vya dhahabu
Google utapata address yaoShukrani mkuu, Hawa Waja wako wapi?
Nimeona wajageneral.com lakini naona wanashughulika na chemicals na mabati!Google utapata address yao
Alibaba wanatuma kwa freight forwarders kama silent ocean au mapembelo kisha wao ndiyo wanasafirisha kuleta TZ .Asante ila freight cost na kodi ni kubwa mno. Yaani inazidi bei ya mashine yenyewe, Natafuta ambayo nitanunua hapa TZ