M Mkulima JF-Expert Member Joined Feb 4, 2007 Posts 1,535 Reaction score 2,510 Jan 12, 2026 #1 Natafuta ndama wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa. Itafaa zaidi wakipatikana mkoani Mbeya. Kitulo siku hizi wameshindwa kabisa kuendana na demand iliyopo. Hivyo hivyo Uyole wameshindwa.
Natafuta ndama wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa. Itafaa zaidi wakipatikana mkoani Mbeya. Kitulo siku hizi wameshindwa kabisa kuendana na demand iliyopo. Hivyo hivyo Uyole wameshindwa.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,302 Apr 11, 2026 #2 Nenda Mwakaleli,Busokelo,Rungwe utapata mkuu!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,175 Reaction score 196,917 Apr 12, 2026 #3 Kila la kheri... Cc: Mahondaw