Mimi ni mrefu futi 6.2 sina ajira nina kazi tu napambana. Ni mkristo na nampenda Yesu. Nina mwili mkubwa tu wa kutosha kuwa na ka kitambi kakufutia simu.
Kwa kusema hivyo,
1. Nahitaji mwanamke awe mrefu,
2. Miaka huwa siangalii sana,
3. Elimu yoyote,
4. Rangi yoyote tu bora isiwe ana...
Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
Habari, natumaini mpo salama
Naishi Moshi Mjini,
Mimi ni kijana mchapa kazi na mahiri, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa natafuta nafasi ya kazi ya Kibarua, popote Moshi mwenye anafaham naomba anisaidie.
Habari za muda huu wakuu
Kwa changamoto za ajira apa nchini inabidi mdaa mengine ku risk kitu upate unachokihitaji
Kila mtu ana ndoto ya kupata nafasi bora ya kazi… na mimi niko tayari kufanya kufanya kazi yoyote kwenye upande wa Quality | oil and Gas |weighbridge| field yoyote ya vipimo na...
Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu.
Ndugu zangu mimi ni mwanaume, miaka 40 natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume ili kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufunga ndoa na kujenga familia bora pamoja.
Elimu yangu ni ya Chuo, nina kibarua cha kunipatia kipato cha kuendesha familia vizuri...
Hello
Mwenzenu upweke utaniua Natafuta mwanamke ambae tutaenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume.
Sifa zangu;
Umri -30yrs
Mjasiliamali
Mkristo
Sifa za mke:
Umri 27yrs na kuendelea
Mkristo
Mwenye hofu ya Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Nb. Akiwa Dar itapendeza zaidi...
NATAFUTA BINTI WA KUOA.
Email yangu
natafutamke872@gmail.com
Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi
Urefu: 158 cm
Umri: 30
Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.
Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.
Elimu ya...
Je, kuna makanisa ya zamani au ya kihistoria katika jimbo la Arusha? Nilikuwa najiuliza kwanini katika majimbo mengi nchini Tanzania unakuta makanisa mengi ya zamani na mazuri ya Kanisa Katoliki, lakini katika jimbo la Arusha sijawahi kuona hata moja.
Ninaposema makanisa ya zamani...
Wasifu wangu:
-miaka ni 28 yrs
-Elimu ni college
-kazi ni mwajiriwa (sector binafsi)
-Dini ni mkiristo
Wasifu wa nimtakaye
- atoke Kanda ya ziwa
-elimu mwisho secondary
-dini awe mkiristo
OFfer hii itakua halali kuanzia Sasa mpaka mwezi December 2025
Wakuu habari,
Nimehamia Musoma hivi karibuni kwa ajili ya kazi na nimekuwa nikisumbuka kupata chumba kizuri cha kukaa (living room) kwa malipo ya kila mwezi.
Vigezo ninavyopendelea:
Iwe maeneo ya mjini (karibu na barabara kuu)
Mahali pasafi na salama
Bei isiyo juu sana kwa malipo ya kila...
Wadau Amani iwe kwenu
Nimefuatilia kwa wenzetu huko Nigeria wanaozalisha funza agotti) kwa ajiri ya chakula cha kuku kwa kutumia inzi waitwao Black Soldier
Nauliza kwa hapa Tanzania wapi naweza kupata hawa inzi ili nitumie kwenye ufugaji wangu wa kuku
Habari.
Niko kisiwa cha mafia, kutokana na zao kuu kisiwa hiki kuwa ni nazi. Nazi zikishabanguliwa "kuvuliwa ganda la nje, mara nyingi haya maganda hutupwa na kuchomwa moto.
Natafuta mashine ya kusaga hayo maganda kwa hapa tanzania ili niweze kupata unga nitaotengenezea coco peat kwa ajili ya...
Natafuta rafiki wa kike, kabila yoyote, kuanzia miaka 40-50. Dini yoyote, mfanyabiashara au mwajiriwa. Naishi Dar.
Nina miaka 50, mwanaume, urefu wa kati, maji ya kunde. Msukuma na Mjita. Mzaliwa wa Dar.
Mfanyabiashara.
Karibu atakayependezewa.
Tafadhali naomba dharau, dhihaka na utani vikae...
Hello, mimi ni mwanaume mwenye watoto wa tatu, ni dereva Bajaji, nahitaji mwanamke wa kuishi nae na kulea watoto umri kuanzia miaka 27 hadi 35, sichagui rangi, dini wala kabila. Awe tayari kuishi Arusha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.