natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato, Mwanza, Shinyanga, Kahama, Simiyu, Geita, au Tabora.

    Wasalaam. Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali nipo Mbeya

    Habari za wakati huu wakuu..? Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry) Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu... kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Kigamboni

    Habari za saizi wakuu, Naitwa Mary nina miaka 24 nina elimu ya chuo naombeni kazi yoyote halali. Nifanye nakaa Kigamboni hata kesho Niko tayari kuanza. Simu: 0682787031
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Niko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu, na Shetani pia (pure atheist). Nicheki DM.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu au yoyote

    Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta machimbo ya simu za batani

    Habari wanaJF, Natafuta simu za batani kwa ajili ya mteja mkoani. Naomba connection 1. Endapo wewe ni muuzaji, tuwasiliane. Nipe namba yako na duka liliko, ntakutafuta. Uwe na whatsapp ili niweze kukagua simu zilizopo kwa ajili ya msururu ya wateja nlio nao. 2. Endapo wewe ni winga/winger...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Riverside Dar es Salaam

    Habari wakuu, Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo; 1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam 2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside 2. Iwe na chumba kimoja master na sebure 3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium Nipo tayari kwa bei yoyote.
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Mercedes Benz za zamani

    Mimi ni mpenzi wa Mercedes Benz (hasa hasa class C) zile ngumu Mjerumani Original. Kwa wale wanaozijua nataka 2020.... series! Kama unalo njooo pm tufanye biashara
  9. JamiiForums Tanzania Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR

    Habari wakuu, Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR. . Taa inawaka vizuri kabisa. . Tatizo screen ndio haiwaki .. Niliipeleka kwa mafundi wakatest screen ni nzuri kabisa, wakatest RAM zote haizikubali .N.K
  10. JamiiForums Tanzania Rafiki anahitajika

    Habari, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji rafiki mtu mzima, kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 , ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart, straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri. Mimi...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Housing/Case ya Hp Probook 440 G2

    Habari wana Home of Great Thinkers, Nimedondosha Mashine ninayotumia HP probook 440 G2 imevunja Case yake upande wa Kioo. Mwenye Housing /case ya mashine hio tuwasiliane nataka kununua.
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji wavuna mikaa na kuni tuongee biashara juu ya eneo langu

    Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba 0743699500 for call/whatsapp.
  13. JamiiForums Tanzania Fundi Magari, natafuta sehemu ya kufanyia kazi

    Habari wakuu,. Mimi ni fundi wa gari ndogo nipo Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia kazi. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mjasiriamali anayetengeneza marashi (perfume) Arusha

    Habari, Nimejaribu google lakini napata wauzaji wa perfume tu. Natafuta wale wajasiriamali wanaotengeneza wenyewe perfumes Arusha. Whatsapp 0656388678.
  15. JamiiForums Tanzania ushauri kuhusu service provider mzuri wa internet - fiber

    habari wakuu naomba ushauri kazi zangu zinahusisha kwa kiasi fulani wateja kuwa na internet hivyo najikuta nalazimika kuwaunganisha wateja wangu na watu wa internet provider mara nyingi. nimepiga calculation zangu nimekuta nimeunganisha takriban wateja 16 ndani ya mwezi tu hawa wote...
  16. JamiiForums Tanzania Nina Masters ya Financial Investment natafuta kazi

    Salaam wanajukwaa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32. Nilimaliza Bachelor Degree ya Banking and Finance (IFM) 2014. Nikasome Masters Degree of Finance and Investment (Coventry University- IAA). Nimefanya contractual jobs na Kampuni tofauti. Mwenye fursa akihitaji CV yangu nipo tayari...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa computer mkoani Mwanza

    Natafuta mwalimu wa kufundisha kozi ya basic computer applications katika chuo kimoja jijini Mwanza. Kama una hii skillset karibu pm
  18. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

    Mimi ni kijana mwenye miaka 25, nipo, Dar Es Salaam. Nisiwapotezee muda, naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa; Ninaweza fanya kazi yotote, haswa ambayo sio ya kutumia nguvu sana kulingana na afya yangu. Nina uwezo wa kuongea na watu vizuri (kiingereza na kiswahili). Nina elimu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta Television ya LG QNED85 miniLED 2022 inches 65 au 75

    Habari za leo wakuu. Nimejaribu kutafuta hiyo television kwenye maduka mbalimbali kwa Dar es Salaam na sijafanikiwa. Nyingi ambazo nimeziona ni LG QNED80, ila ninahitaji model ya namba 85. Imenibidi kuulizia humu nadhani nitapata mwongozo.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Dar

    Habari za majukumu wakuu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ninaishi Dar es salaam, Ninawaomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi nitashukiru sana, Nimeambatanisha CV yangu tafadhali nahitaji msaada wenu, Ahsante.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…