Dereva natafuta kazi.

James_patrick_

Senior Member
Mar 20, 2017
106
194
Dah ngoja nijalibu tena kuomba labda ipo siku mungu ataniona.

Habari ndugu zangu poleni na uvumilivu wa kungojea muujiza wa mungu..usijali jua aupo peke yako wengine tunakalibia mwaka wa pili sasa atujaona cha muujiza wala cha nn na kama kuomba tunaomba sana..kuna mda unaweza ukakufuru anyway bwana...

Mm kwa jina naitwa james patrick ingawa naona nishakuwa maarufu maana nimeandika uzi za kutosha tu za kuomba kazi humu lakin nimekuwa nikijiandikia mwenyewe tu kama najifurahisha..sijawahi kuona cha simu wala message...lakini akuna kukata tamaa inabidi kujipa moyo tu hvyo hvyo.

Mm nina uzoefu wa miaka 13 sasa kwenye udereva..na nimeendesha magari makubwa na madogo..nina uzoefu pia wa kusafirisha abiria kutoka dar,moshi to arusha kwa mda mrefu sana..kwa mwenye kuhitaji dereva kwa ajili ya kazi yyte ile naomba usisite kunitafuta 0655778100
 
Taesa wanazo nafasi za kazi kwa madereva kama una leseni class E kwenye leseni yako. na upo Dar es salaam jitahidi jumatatu uende kwenye usajili kisha usaili TAESA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom