Nauliza swali kwa wizara ya mambo ya ndani, ninandugu yangu wakati wa tuhuma y vyeti feki, ilimtokea yeye na aliomba kuacha kazi, na hakuwahi kujibiwa barua ya kuacha kazi, Tangia mwaka 2016.
Hajapata haki zake zozote wakati halifanya kazi kwa muda mrefu, kwakua alilitumikia jeshi la polisi na...