naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Naombeni kufundishwa kuandika assembly language in 8086 Trainer kit

    Habar wakuu Mdogo wenu nshavurugwa huku nina 8086 Trainer kit sijui kuitumia kuandika assembly language program naweza kuzipata online shida ni kuziandika nifanyeje Shukran
  2. A

    Naombeni msaada, nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani? Nipo Kinondoni - Dar es Salaam

    Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali. Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
  3. Naombeni msaada kisheria, nawadai Airtel

    Habari zenu wanajukwaa, Ninaombeni nisaidiwe namna ya kurudishiwa hela na Airtel kiasi cha shilingi milioni moja ya kitanzania. Ishu iko hivi nililipa katika akaunti yao ili nijengewe zile shop zao. Sasa team leader aliyekuwepo hakunipa mktaba wa kujaza mpaka nikaondoka eneo nilikokuwepo maana...
  4. Wanaume naombeni mnijibu hili swali kwa mitazamo yenu

    Good Sunday to everyone. Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada. Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli kwamba yeye anaye mtoto amezaa na dada fulani somewhere. Sasa huyu dada kila akisoma nyuzi humu...
  5. Naombeni kujuzwa hali ya member mwenzetu kama alipona au la!

    Ningependa kujuzwa kwa mwenye taarifa za member mwenzetu mama sabrina atujuze anaendeleaje maana kuna mtu nilimsikia akisema alikuwa akiumwa sana na jino na hali yake ilikuwa mbaya sana mpaka kulazwa ila ghafla naona kimya kimetanda! Kwa mwenye taarifa zake naombeni mtujuze anaendeleaje?
  6. PR and journalism

    Jamani naombeni msaada kuhusu hii coz ya journalism and public relations je ni nzr kwa hapo baadae kuweza kuajiriwa na kujiajiri
  7. Wajuzi wa masuala ya ujenzi naombeni ushauri wenu

    Wakubwa shikamooni, madogo mambo vipi, poleni wote na makali ya tozo. Mimi ni kijana wa kiume miaka 30 makazi yangu kwa sasa yapo Iringa Twende moja kwa moja kwenye point., katika kuchanganyika vizuri na watu kuna jamaa kanisaidia kunipa msaada wa molds za kutengeneza maua na mikanda ya gypsum...
  8. F

    Bank ya NMB naombeni ufafanuzi kuhusu makato haya

    Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote. Je, hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu. 6000 ni ndogo kwa mtu...
  9. Naombeni adress za air Tanzania China

    Naombeni adress ya air Tanzania China upande wa cargo.
  10. Uniform za Polisi wa Kenya ni zipi haswa? Naombeni ufafanuzi

    Najua wanavaa blue lakini kwenye matukio mengi hasa hata ya kutangazwa kwa mshindi wa Urais wa Kenya hapo Bomas, naona askari wengi wamevaa kimbati za jeshi. Je nayo ni sehemu ya uniform za jeshi la polisi kenya?
  11. M

    Naombeni ushauri, mwanamke wangu ana ujauzito lakini hajui baba wa mtoto ni nani

    Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana. Sasa tukawa tunaishi mwenzangu akaniwekekea password kwenye kila kona ya simu yake nikawa napata...
  12. Naombeni ushauri, nataka kununua friji

    Nimelikuta hili friji duka fulani na nikiangalia ni kweli nahitaji kafriji fulani hivi kadogo kwajili ya geto si mnajua tena geto la msela lazima liwe la kisasa. Nimeona nisijepigwa na kitu kizito bora kabla sijanunua nije niulize kwanza kwa wakubwa wenye uzoefu na haya makitu hasa katika...
  13. Leo Simba SC 'Wamenivuruga' naombeni kujua 'Kick Off' ya Mechi ya Yanga SC na Vipers FC ni Saa ngapi?

    GENTAMYCINE leo nataka niiangalie Klabu inayojua Kusajili Wachezaji wa maana, wenye Afya, wanaojitambua, wenye Uwezo na Mafundi Watupu wa Yanga SC na siyo wa Timu zingine ambazo Wachezaji wao Afya hawana, hawajui Mpira na hata Mechi zao zote za Pre Season wamecheza na Wapishi na Wachezaji wa...
  14. Mzee anategemea kupokea kiinua mgongo, lakini simwelewi elewi kabisa

    Kwanza niwasalimu ndugu zanguni wapendwa. Kiukweli naona kuna mambo kadhaa nahitaji ushauri wenu. Mzee anastaafu mwezi ujao tu. So nimeona ni wakati muafaka nami kupanga bajeti. Kwa mzee salary aliyokuwa anapokea ni kama mil 7 kwa mwezi. Pia ana miradi yake kadhaa so maisha hayasumbui. Je...
  15. Sijaoa bado. Nimekuwa mtu wa papa sana. Asubuhi Pono usiku sikosi Changu. Naombeni Msaada

    Haya maisha kama ukiwa umezoea sana jambo. unaweza teseka sana. Mimi nimechelewa sana kuanza kutumia papa.siku nimeonja tu nikapenda sana... Nikajikuta nitafuata papa popote pale nile. Natamani nioe ili niwe napata papa wakati wote. Sisi wa kanda ya Ziwa wengi tukija Dar basi ndo unakuwa ulevi...
  16. H

    Naombeni msaada ukitaka kuangalia account yako ya bank ilikujua imefungiwa au la? Unafanyaje

    Ndugu zangu nina account ya bank ya NMB so nikuwa nataka niicheki bado ipo hai au vipi naombeni msaada wenu kwa wanajua haya mambo
  17. I

    Kwa wanaofahamu, naombeni muongozo wa jinsi ya kusajili kikundi cha hisa na mikopo

    Naam naona kichwa cha habari kimejitosheleza, naomba mjuzi anipe muongozo wa utaratibu mzima wa usajili.
  18. Naomba kuifahamu Dawa ya mapunye kwa mtoto

    Habari zenu jamani naombeni mnisaidie dawa ya mapunye, mtoto wangu katokewa na punye mkononi. Ana miaka 4 na miezi 7
  19. Je, kuna uwezekano wa kupata mkopo university kama ukitokea diploma kwenda degree

    Naombeni msaada wenu wakuu. Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni gharama kubwa. Naomba kufahamishwa kama naweza pata mkopo ili niweze kuendelea na elimu yangu...
  20. T

    Tafadhali sana NBS msishiriki dhambi inayopangwa na hawa watendaji na Halmashauri, naombeni muwe waamuzi wa mwisho kwenye ajira za sensa

    Nimejaribu kupitia maoni mbalimbali ya wadau mbalimbali kuhusu ajira za sensa na zaidi maoni yao wengi yamejikita katika hofu walinayo juu ya mwisho mbaya unakaoenda kutokea ikiwa zoezi hili litakuja kukamilishwa na usaili utakaosimamiwa na watendaji. Nausema ni mwisho mbaya kwa Sababu zoezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…