Naombeni code za hii ndoto

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
392
579
Habari za wakati huu ndugu zangu. Naamini humu ndani watu Wana maarifa mbali mbali katika nyanja tofauti tofauti.

Nipo na mahusiano na mwanamke mmoja ambae nmezaa nae mtoto mmoja. Siku kama mbili tatu nyuma nlikua nmetibuana nae ijapo sikuonyesha kwake ka amenikwaza Ila mawasliano nlipunguza kwa asilimia 80%.

Leo asubuhi mapema nlipoamka baada ya Salam alinitumia ujumbe kuwa ameota nimekufa na alikuwa anapeleka maua kwenye kaburi langu.

Imenishtua hivyo naombeni mnisaidie code za hii ndoto ya bibie juu yangu. Natanguliza shukrani.

Screenshot_20230420-200200_2.jpg
 
Ndoto ya kweli Huwa inajirudia more than three times. Ninachoona hapo anacheza na psychology Yako tu kwa kwa sababu Fulani Fulani.

Hata hivyo ndoto za aina hiyo humaanisha upo katika vita Kali na roho zinazotaka kuondoa maisha Yako au at least kuharibu kabisa msingi wa maisha Yako iwe kiuchumi au kiafya.

Dawa yake ni Moja tu; FANYA maombi ya nguvu na kufunga Ili kuvunja roho hizo. Hilo ni lazima liende sambamba na kutengeneza ama kuweka vizuri mahusiano Yako na MUNGU.

Maombi na kufunga vifanyike SIKU 7.
 
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Naamini humu ndani watu Wana maarifa mbali mbali katika nyanja tofauti tofauti.
Nipo na mahusiano na mwanamke mmoja ambae nmezaa nae mtoto mmoja.
Siku ka mbili tatu nyuma nlikua nmetibuana nae ijapo sikuonyesha kwake ka amenikwaza Ila mawasliano nlipunguza kwa asilimia 80%.
Leo asubui mapema nlipoamka baada ya Salam alinitumia ujumbe kuwa ameota nimekufa na alkuwa anapeleka maua kwenye kaburi langu..
Imenishtua hivyo naombeni mnisaidie code za hii ndoto ya bibie juu angu..
Natanguliza shukrani.
Kataa roho ya mauti japo sidhan kama ameota hivo pengine kakwambia ili apate attention yako
 
Kataa roho ya mauti japo sidhan kama ameota hivo pengine kakwambia ili apate attention yako
Sdhani ka kuna haja ya adi anidanganye hivyo...relation Eti tumeijenga kuwa wazi ata ka jambo lnaumiza au linakera kiasi gn na siku zte yupo huru kuniambia au mie kuniambia chcht
 
Back
Top Bottom