Mimi kijana mwenye miaka 29 natafuta kazi yeyote kuhusu elimu mi degree holder, lakini njaa haijui Mambo ya degree.
Nahitaji kazi yeyote iwe halali au haramu. Naweza fanya sales and marketing KUTOKANA na experience ya miaka 3 niliyowahi kufanya kazi Huko nyuma.
Niko morogoro
Nikisema haramu...