ngotho
Senior Member
- Jun 18, 2021
- 142
- 110
Wakuu habarini za saa hizi.
Husika na mada tajwa hapo juu... Mimi ni miongoni mwa walioomba mkopo, lakini kuna swala linanitaniza kidogo..
Juzi siku ya Jumatatu, nilipokuwa natembelea GOOGLE, kitu cha kwanza nilichokutana nacho kilikuwa kinasema hivi.. (YOUR APPLICATION FORM WAS VERIFIED AND FOUND TO BE COMPLETE, PLEASE WAIT FOR THE FURTHER PROCESSES)..
Ilinibidi niitembelee account yangu ya HESLB..
Niliitembelea ila nilikuta form inasema hivi.
View attachment 1949430
Lakini cha kushangaza, kila nimuulizaye, wengine wanasema form zao tayari, wengine wanasema THE FORM IS IN THE VERIFICATION STAGE.
Swali langu,
MBONA MIMI NAAMBIWA ETI (APPLICATION VERIFICATION HAS NOT YET STARTED) wakati wengine their forms have been verified and some are in the process??
Naomba anaejua anijuze, au form yangu ndo hivo tena..
Kila siku toka Jumatatu mpaka leo alhamisi nikiangalia naikuta tu hivyo hivyo..