Vitu kama hivi vinahitaji nguli kama Pascal Mayalla ili kusaidiaHalmashauri inaweza kufutwa?Wilaya je?Mkoa?Jimbo la uchaguzi?
Kwa vigezo vipi vinaweza sababisha..haya kutokea?Sheria zinasemaje??
hahahahahaUna katiba ya nchi hapo uniazime nisome ili nishushe nondo?
Una katiba ya nchi hapo uniazime nisome ili nishushe nondo?