naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Naomba kujua kuhusu NMB Loan

    Samahan wanaforum..Mimi nliuza mkopo NMB kutoka faidika na bayport na kwenye salary slip deni linaonesha 7,880,000 kila mwezi nakatwa 247,000..Sasa naulza deni linaloonekana kwenye salary slip ndo hilo likiisha basi haudaiwi au kuna deni lingne lisiloonesha kwenye salary slip?
  2. Naomba Jina la Wimbo wa Taarab Samia Suluhu aliokua akicheza kwa kudemka huko Zanzibar.

  3. Naomba udhamini wa masomo ya udaktari

    Naitwa Hussein Masoud,ni clinical assistant (CA),nipo Mwanza mjini katika chuo cha afya na sayansi shirikishi BWIMA kilichokua kikitambulika kama victoria zamani, kwa sasa nimebakisha mwezi mmoja nifanye mitihani yangu ya kuhitimu diploma in clinical medicine level 6 itakayo fanyika February...
  4. Naomba Viongozi wasitumie tena maneno yafuatayo kwenye hotuba zao

    Kati ya mambo yanatufanya tuwe na uelewa mdogo ni kuona viongozi wanajipendekeza kupita kiasi. Viongozi wasitumie maneno yafuatayo inapokopa. 1. Serikali ya Samia imekopa. 2. Rais amekopa. Badaya yake watumie neno lifatalo ili kuleta ufanisi. 1. Nchi imekopa.
  5. B

    Rais Samia hotuba yako imejitoshela ila naomba nikosoe maeneo mawili Kwa kesho nzuri ya Tanzania

    Naomba kukupongeza Kwa hotuba nzuri inayoeleza kinaga ubaga umefanini na unategemea kufanya Nini huku ukiweka wazi vyanzo vyote vya fedha Kwa Kila mradi, nimependa umekuwa wazi kuonyesha namna tunavyohitaji mahusiano yakimataita kujenga uchumi Pamoja na hotuba nzuri nimejisikia vibaya kusikia...
  6. D

    Naomba kufahamu ni namna gani naweza kujiunga na JWTZ baaada ya kumaliza kidato cha sita

    Mwaka huu namaliza kidato cha 6 na ningependa kujiunga na jwtz baada ya hapo na inakuaje Kama sitapangwa JKT.
  7. Hivi uandishi wa habari Tanzania ni tofauti ma nchi nyingine? Kazi hasa ni zipi?

    Kwa wataalamu wa mambo ya sanaa pamoja na sayansi ya uandishi wa habari napenda mtujulishe kazi zao zina mipaka kiasi gani kwa viongozi wa nchi? Habari zinazoandikwa na kuripotiwa ni zile zinazojitokeza zenyewe tu by nature hakuna habari za uchunguzi za kisiasa. wanachunguza mambo ya afya za...
  8. Waziri na Naibu Waziri wa Ardhi naomba muangalie uhaba wa wenyeviti mabaraza ya Ardhi

    Kwa sehemu kubwa Wilaya nyingi hapa nchini zina Mabaraza ya Ardhi yanayoshughulikia migogoro ya ardhi. Hivi karibuni yameundwa mabaraza mapya ya Ardhi kwa lengo la kukidhi mahitaji kwa wilaya kadhaa. Lakini tatizo linalojitokeza ni uhaba wa wenyeviti katika mabaraza mapya yaliyoundwa na hata...
  9. M

    Naomba kufahamu gharama za kujenga hii nyumba

    Wakuu habari za mwaka huu wa 2022! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimeshajenga msingi tu. Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta...
  10. Hivi unaeza teuliwa bila kuwa chamani, bika kuambiwa? Naomba kujifunza wakuu!

    Ni Mimi Mr.Noma napenda sana kuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa! Nahitaji kujifunza.Nikikosa hata Ukurugenzi tu wa halmshauri unanifaa. Kwa ninavyojua wananchi watapata maendeleo sana katika enoe Hilo. Maana sipendi uzembe.
  11. Naomba msaada wa jina la haya matunda na upatikanaji wa mimea yake kwa ajili ya kupanda

    Haya matunda nilibahatika kuyala nikiwa mdogo na wakati huo sikufanikiwa kujua hata yalikuwa yanaitwaje ila ninacho fahamu ni kwamba yana ladha nzuri sana ya utamu ambayo hauwezi kufananisha na matunda mengine. Msaada wenu wakuu, nahitaji kupanda miti yake, ikiwezekana hata minne. Natanguliza...
  12. Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

    Habari ya leo wakuu, samahani Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k Napenda nitumie laptop kufanya kazi hiyo kutokana na mazingira yangu kibiashara kuwa ya kusafiri mara...
  13. L

    Naomba soko la mbao aina ya Mahogany na mvule toka Congo DRC

    Ndugu wana JF naomba mwenye taarifa ya soko la mbao aina ya MVULE AU MAHOGANY toka DRC anijulishe tafadhali nimepata msitu mkubwa DRC nimeshaanza kuzalisha hivyo nahitaji soko la uhakika.Niko tayari kutoa kamisheni kwa mtu atakayenipa connection ya masoko. Namba yangu 0783881930
  14. Naomba kujua makadirio ya pesa nyumba hii

    Habari nyingi wakuu. Tumeanza mwaka na mipango mipya. Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah. Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom) Jiko Dining Kitchen Store Sitin room Public toilet...
  15. Nchi hii, kiini cha kila tatizo tulilo nalo inaonekana ni katiba mbovu; mlio kwenye system, naomba mtujuze, inabadilishwa lini?

    Kiuhalisia ni vyema kila kiongozi aliye madarakani akawekewa guidance ya namna ya kuendesha serikali na muongozo huo uwepo kwenye katiba, isiwe utashi au mapenzi yake binafsi, bali katiba iseme hivyo na awajibishwe endapo hatoifuata. Mfano leo ukaniambia kwamba tunakupa madaraka fulani, na...
  16. Katika usajiri huu wa dirisha dogo, chama langu Simba naomba muwasajiri hawa wachezaji 3 kuimarisha kikosi

    Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa. Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
  17. Katika usajiri huu wa dirisha dogo, chama langu Simba naomba muwasajiri hawa wachezaji 3 kuimarisha kikosi

    Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa. Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
  18. Nahitaji mkopo, dhamana ni nyumba iliyo Mzumbe, Morogoro

    Habari wana jf, nimekuja kwenu Nina uhitaji wa mkopo Nimejaribu kwenye taasis nmekosa, nina dhamana ya nyumba ipo morogoro mzumbe, nahitaji tsh million 3 naweza kurejesha ndani ya miezi miwili mpaka mitatu kulingana na riba, ukiweza kunisaidia contact 0677982592.
  19. Kama Siasa tulifikia hapa, naomba kujua mhariri wa hili gazeti. Je huu ndio mfumo wa kuchora katuni?

    Ndugu wana jamvi, Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe? Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje? Naombeni...
  20. Naomba ushauri: Nahisi kuibiwa na wahudumu wa Halotel

    Bila shaka mnaendelea na maandalizi ya sikukuu!Mida ya saa nne leo asubuhi kuna mtu kaniomba vocha nikaona isiwe kesi nikaingia kwenye Mobile App yangu ya NMB ili nimnununue mda wa maongezi mhusika. Nimeingia nikamtumia elfu 10 kama mda wa maongezi ili ajiunge mwenyewe,Nmb wakanipa taarifa hela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…