naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka Zanzibar kuja Dar

    Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka zanzibar kuja Dar, mfano Tv na baiskeli. Nategemea kuanza kuuza Tv na kukodisha baiskeli huku mkoan, hivyo nimeona kunagharama nafuu sana kupata bidhaa hiyo Zanzibar japo sijajua utaratibu upoje. Hii ni kutokana na kodi za nchi yetu ni kila...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Agricultural economics and agribusiness inahusu nini?

    Kuna kozi pale SUA inaitwa agricultural economics and agribusiness, hii inahusu nini na fursa zake ni zipi?
  3. JamiiForums Tanzania Gari kuzima relini

    Naomba kujuzwa Je, ni nini kinasababisha gari kukwama wakati wa kuvuka reli pindi treni inapokaribia?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Naitwa godfrey Nimesomea IT level ya degree nina uzoefu wa kufundisha chuo miaka miwili certificate na diploma...naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote
  5. JamiiForums Tanzania USHAURI: Kozi ya Natural Resources Management ina soko la ajira?

    Natarajia kwenda kusoma course ya Natural Resources Management, naomba ushauri wenu vipi ipo marketable?
  6. JamiiForums Tanzania Kuomba mkopo na Chuo JKT inakuaje?

    Samahan Wana jf nimechaguliwa jkt mujibu wa sheria 2022 .msaada kuhusu kuapply mkopo na chuo ukiwa JKT
  7. JamiiForums Tanzania Jamani mimi mgeni naomba ushirikiano wenu

    Habari wakuu nimefurahi kweli kujumuika na nyie nimeshindwa kuandika mengi vidole vinauma kwa kutype I hope tutakuwa pamoja katika mada mbalimbali jukwaani
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu UTT

    Habari wana jamvi Leo ningependa kufahamishwa zaidi kuhusiana na utt. Jinsi inavyofanya kazi. Jinsi ya kununua kama unaweza kujisajili na kuwekeza kwa watu tulio mbali na DSE Jinsi ya kupata faida na jinsi ya kutoa pesa [emoji116][emoji116][emoji870][emoji113][emoji870][emoji113]
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujua wanajeshi wanawake wenye vyeo vya juu JWTZ

    Uzi huu ni mahususi wa kuwataja na kuwatambua akina mama zetu wenye vyeo vya juu jeshini, ambao wanaanzia vyeo vya Brigedia Jenerali na Meja Jenerali. Kuna hesabu nazifanya hapa. Mwisho wa mwezi huu kuna jambo letu.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada kujua bei za magari haya kwenye showroom za DSM.

    Naomba kusisitiza kwenye showroom zile za maana ukiacha wale wanaofake Kwa kutoa vitu na kuminimise speed reading 1. IST. 2. Vts. 3. Toyota Altezza Gita 4. Carina TI. 5. Volts. 6. Suzuki. 7. Nadia. 8. Balloon 4. 9. Gx100 10. Corona old model. 11.Allexes. 12. Premio old model. 13. Wish. 14...
  11. JamiiForums Tanzania Ni siku zipi mwanamke anashika Mimba baada ya kutoka hedhi?

    Naomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari?
  12. JamiiForums Tanzania HESLB, naomba kupata maelekezo juu ya allocations za fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo(Field)

    Habari za wakati huu kwenu. Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na rehema tele atupazo katika maisha haya. Nimekuja hapa, nikiamini nitapata msaada na ushauri wa kimawazo juu ya suala tajwa hapo juu. Ipo hivi, mnamo mwaka 2020 bodi ya mikopo elimu ya juu (HESLB) ilifanya...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu uchaguzi Bunge la Afrika Mashariki

    Wakuu heshima kwenu. Naomba kufahamu kuhusiana na uchaguzi bunge la Afrika Mashariki, mwaka wa uchaguzi ni lini? Je, kuna utaratibu gani kuchukua fomu mpaka kugombea? Natanguliza shukrani.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Afisa Hesabu Daraja la II (Account Officer II)

    Naomba ufafanuzi kuhusu sifa Kuajiriwa wenye “Intermidiet Certificate” (Module D) inayotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA, Shahada ya Biashara au Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu, Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka taasisi yoyote...
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya Kahama na Katoro ni mji gani unafaa zaidi kwa biashara ya Juice Bar

    Wakuu, habari zenu, Samahan mimi nipo Mwanza nina juice bar naona hapa biashara kidogo imekua ngumu nawaza kuhamia mji mmoja kati ya Katoro au Kahama, Naombeni ushauri kwa wenyeji wapi panafaa zaidi kwa biashara hyo na urahisi wa kupata eneo na matunda, pia aina ya watu sehemu izo, ASANTENI
  16. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Simuelewi mama. Nina hasira sana

    Nillelewa na mama baada ya baba kufariki nikiwa mtoto mchanga. Kwa hali hiyo Nilisomeshwa na wasamaria wema. Nilipokuwa nasoma college nilikuwa nanjibana sana namtumia mama yangu 35% ya kila mkopo wa kujikimu, yaani boom. Nilifanya kazi za zege ili pesa nitakayolipwa nichanganye na kiasi cha...
  17. JamiiForums Tanzania Mafundi simu upande wa Software naomba kusaidiwa

    Kwema Wakuu? Mafundi simu upande wa software na wadau wote mnaofahamu matatizo ya software za simu,nisaidieni utatuzi. 1:Vida k242(voda kitochi) APP ya contact inafunguka lakini haiwezekani kuchagua majina(bar ya kijani inayozunguka eneo la search pichani inagoma ku move kushuka chini). 2:APP ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Mwalimu Nyerere, mchanga au udongo wa Tanganyika aliushika kwa mkono gani wakati wa kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar?

    Wakati mwl Nyerere anachanganya mchanga au udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama inavyoonekana kwenye picha👇inaonekana mikono yake yote miwili ilishiliki kwa pamoja katika kuchanganya udongo huo. Sasa naomba kujuzwa udongo wa Tanganyika ulishikwa kwa mkono gani hapo, wa kulia au kushoto?
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanamke niliyezaa naye alienda kwao baada tu ya kujifungua, hataki nimuone mtoto

    Wakuu Salaam, Moja kwa moja kwenye mada. Mwaka juzi nilipata mtoto na mwanamke mmoja nilikuwa nikiishi naye wakati huo. Kipindi chote cha ujauzito alikuwa akiishi kwangu mara baada ya kujifungua akaenda nyumbani kwao kupata msaada wa karibu. Alijifungua vizuri mtoto wa kike na baada ya miezi 2...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba mie Leo nipate wakuchepuka naye

    Ni mume Nina Mke na Watoto. Natafuta MTU wa kuchepuka naye weekend tu. Na siku Moja ya kazi. Awe dini yoyote, taifa lolote, rangi na Umri usizidi miaka 30. Asiwe mlevi wa kupindukia, awe anakunywa bia kias (chupa 2) tatu ndio mwisho na kweli akipiga 3 awe amelewa kwel, sio anakunywa bia 10...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…