Naomba kujuzwa haya kuhusiana na wilaya ya Butiama mkoani Mara

Panda bus ya JM au Osaka. Za musoma . Shukia kituo kinaitwa kiabakari. Gest Bei ni kuanzia ten na kuendlea. Life huko ni rahis sana.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Osaka limejaa kunguni, ukitaka uishi vizuri huku unafanya kazi butiama ni vyema ukaa musoma mjini, nauli ni shilingi 4000 kutoka musoma mjini magari ni mengi sababu uchumi wa butiama unategemea musoma
 
Namshauri asishukie Kyabari pale panaweza kumsumbua usafiri. Aende mpaka Musoma mjini pia ataweza kuangalia mandhari ya yeye kupumzika hasa week ends.

Kuna beach nzuri hasa maeneo ya polisi mess. Wanauza bia ila hazikuhusu kama hutumii na wana pika chakula kizuri japo wako slow kiasi.

Pia wanauza kitimoto. Lakini Butiama ni sehemu nzuri though imejiisolate sana kutokana na kuwa karibu na miji ya Musoma, Tarime na Mugumu. Ila ni sehemu nzuri. Enjoy your work.
 
Back
Top Bottom