naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kusajili Hiace, Coaster au basi LATRA

    Salamu, Naomba kufahamishwa gharama/ada ya kusajili chombo cha usafiri kwa ajili ya kubeba abiria pale LATRA ni kiasi gani? Natanguliza shukrani.
  2. JamiiForums Tanzania TARURA - Naomba ufafanuzi tozo za parking

    Naomba kuuliza mtu anatakiwa apaki gari kwa dakika ngapi mjini ndio aanze kuchajiwa/kumulikwa? Nilipaki gari ndani ya dakika moja kununua maji ya kunjwa nikachajiwa, naona kama haijakaa vizuri! Naamini Muheshimiwa Kinana akikumbana na hii hali, atatusaidia kuwajulisha wahusika watoe muongozo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wanazuoni naomba kuuliza tofauti ya fake news na propaganda : case study of Russia ukraine war

    Propaganda ni kitu kinachotajwa sana kwenye ulingo wa siasa na vita hasa pale panakuwa na pande mbili zinazochuana kupata ushawishi wa jambo flani. Hali kadhalika wakati wa vita ''propaganda" huchukua mkondo wake kama njia ya kuongeza au kupunguza hamasa ya mapigano kwenye uwanja wa medani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia PF Number

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia (PF) number na taratibu za uhamisho kutoka shirika moja kwenda jingine.
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya vifuu

    Wadau habari zenu, Kuna hii Biashara ya kununua na kuuza vifuu ambayo ningependa kuifahamu kuanzia - Gharama za kununua Kama kwa kilo hununuliwa kiasi gani na kuuza kiasi gani - Changamoto zake (japo hakuna Biashara inayokosa changamoto ila NI Bora kujua japo kwa uchache) - Kama Kuna ubora...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya sigara

    Habari wakuu, Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla. Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa hili wakuu

    Deleted
  8. P

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kazi za Ubalozi wa Marekani hukuchua muda gani kuitwa?

    Wakuu samahani, Naomba kufahamu usahili wa kazi kwenye Ubalozi wa Marekani huwa inachukuwa muda gani mpaka kuitwa huko
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa matumizi sahihi ya dawa

    Wakuu habari zenu? Leo baada ya afya yangu kuyumba, nilienda hosp kucheki afya yangu, baada ya matibabu nilipewa dawa nikiwa nimeandikiwa nitumie 1 mara 3 Kwa siku 5 na mfamasia , akifafanua Kwa kusema nitumie Asb, mchana na jioni. Lakini nikiwa natoka hosp nikakutana na ndugu yangu ambaye NI...
  10. JamiiForums Tanzania Hiki ni kitu gani wajameni?wanawake Mungu naomba uwachome kasoro mama yangu!

    Sina maelezo ni picha hizi ni dawa gani?
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya ving'amuzi vya Azam

    Wakuu, natumaini mko poa kabisa! Naomba kujua bei za ving'amuzi vya Azam kwa sasa, vya antena na dish. Naomba pia kujua kama vitapanda bei hivi karibuni?! Ahsanteni.
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya uzalendo na Uzuzu

    Ndugu zangu wanajf naomba kujua tofauti ya uzalendo na uzuzu. Naomba kuwasilisha sitegemei mitusi
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mnaotunza watoto wa ndugu nje ya ndoa, naomba ushauri

    Habari wanaJF! Nina mtoto wa miaka miwili na nusu ambaye analelewa na mama yake baada ya mkubwa wangu kufariki Ila pesa ya matumizi ninatoa Mimi kwa niaba ya marehemu. Mwanzoni tulienda vizuri lakini shemeji kabadilika ghafla. Leo hii kila pesa ninayompa ya kumtunza huyo mtoto anadai haitoshi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering). Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana, nimezaliwa na kukulia katika kijiji kimoja kilichopo Mkoani Shinyanga. Nilihitimu stashahada ya uhandisi Kilimo miaka kadhaa iliyopita kutoka chuo cha Wizara ya...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mtu hayuko pensionable, haya mashirika ya hifadhi ya jamii yanakuwa na uhalali gani wa kushikiria hela za mwanachama?

    Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 . Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka kusoma course ya Fine Arts and Design naomba ushauri

    Niko combination ya science nataka nikasomee Bachelor of fine art and design.. Ninakipaji cha kuchora.
  17. JamiiForums Tanzania Naomba ratiba kamili ya Ligi Kuu Bara

    Wakuu naomba ratiba kamili ya LIGI KUU BARA Natanguliza shukrani
  18. K

    JamiiForums Tanzania wadau naomba maneno ya wimbo " WAMTETEA BURE" wa KIKO KIDS mtunzi SALUM ZAHORO

    wimbo mzuri sana sana kutoka kwa huyu fundi wa tabora kiko kids
  19. N

    JamiiForums Tanzania Ganzi nyayoni inasababishwa na nini? Na nini tiba yake?

    Habarini za jioni Wana JF. Humu ni sehemu ambayo nimejifunza mengi. Watu wamepata utatuzi wa yale yanayowasibu. Kama mada inavyosema, nina tatizo la ganzi nyayoni. Hii husababishwa na nini? Nini tiba yake? Natanguliza shukrani kwa msaada wenu.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gas asili kwenye gari

    Wasalaam Wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gesi kwenye gari cc 2000. Je, kuna changamoto yoyote ya ufanisi wa gari nitakayokutana nayo? Je, ni kweli kwamba mfumo huu unaokoa gharama? Ni wapi naweza pata huduma ya kufunga mfumo huu kwa gharama nafuu? Pia kwa yoyote mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…