naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu teuzi

    1. DAS wa wilaya anateukiwa na Mh Rais. 2. Je anapofanya mabadiliko DAS akaachwa anapangiwa kazi ingine? 3. Kama alikuwa public servant atarejea kwenye kazi yake? 4. Na kama hakuwa mtumishi wa umma atapotezewa na maisha yaendelee? 5. Na kwanini hakuna teuzi zinazowachukua walimu?
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kwa wataalamu wa kodi za kuingiza magari nchini

    Wataalamu wa kodi za magari naomba nieleweshwe kidogo juu ya hotuba ya Jana ya mawasilisho ya budget ya serikali kwa mwaka 2023 /2024. Moja wapo ya kipengele ni magari yanayotumia umeme na gesi kusamehewa kodi Pili kuna hii ya magari yenye kuanzia 1000 cc hadi 2000cc kutozwa ushuru wa 5% na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ni bora wananchi tuchangie gharama za ufanisi wa Bandari zetu, ila si kuwapa DP word kwa mkataba sawa na bule!

    Ukweli ni kwamba, nchi yetu ina watu masikini kiasi ambacho wengine ni huruma ukiwaona! Wapo ambao, kula yao inategemea Jirani yake ama wapita njia, Mungu amewapa furaha ya aina gani siku hiyo ili tu kuwapa chochote kitu Baadhi ya wabunge, wanatoka kwenye maeneo ambayo watu wake ni masikini...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

    Kabla sijaoa nilikua na maisha mazuri sana, hela ilikuwa inakaa mfukoni, laki tatu inakaa hata miezi mitatu kwenye chakula, sikuwa mtu wa mawazo ya usumbufu wa kudaiwa daiwa vitu vya ndani kifupi nilikuwa naenjoy sana maisha yale hasa kwenye mambo ya kiuchumi yani sikuwa nakosa hela mfukoni...
  5. JamiiForums Tanzania Nichague kozi ipi kati ya hizi?

    Kuhusu kati ya kozi ya Procurement and Logistics Management na Business Administration nichague ipi? Na faida nitakazopata baada ya kuhitimu na ipi ni rahisi kupata ajira?
  6. JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi wa X Trail mpya kuanzia 2008

    Habari wakuu naona kuna utitili wa hizi xtrail new model mjini hapa Dar tafadhari naomba kujua kama na zenyewe zina changamoto kama ya zile za mwanzo! Nataka kujitwisha Consumption ya mafuta ikoje?
  7. JamiiForums Tanzania Hatua zipi za kufuata ili mdogo wangu apate shule ya Serikali

    Habari za wakati huu wanajukwaa, Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne Alipata ufaulu wa Division 2 na alisoma masomo ya Sanaa(arts) Kapata selection ya chuo cha uhasibu Dar es salaam (TIA) lakini kwa uchumi wangu sasaivi sijasimama kwaio itakua changamoto kidogo kumudu ada ya 890,000/= kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kuanzia biashara ya mabango ya 3D na 2D

  9. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwa wale waliofanya interview ya MDA & LGA 14 may 2023 kama tayari wameitwa kazini

    Wadau samahani naomba kujua kwa wale waliofanya interview ya MDA & LGA 14 may 2023 kama tayari wameshaitwa kazini au kama wapo basi naomba mawasilia🙏
  10. JamiiForums Tanzania Kama Raia tafadhali naomba kujua hizo Sheria 12 za TISS zilizopitishwa Kimya Kimya na Bunge linaloendelea sasa

    Kuna moja hiyo nimeisikia na Kabambe sana ( japo nakataa Kuiamini nikijua TISS si Makatili na Wapuuzi ) hivyo nawatahadharisha wale Wenzangu na Mie Wapenda Kugombea Mbunye za Baa kuwa ukigundua tu unayegombea nae Mbunye ni wa Kitengo ( TISS ) mwachie tu hiyo Mbunye na tafuta nyingine kwani...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hili la mbuzi

    Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini kinasababisha hilo?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kigamboni naomba assistance nahitajiMaster rooom(single self) maeneo ya kibada, ungindonii au mji mwema

    Habarii great thinkers, Naomba assistance Kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu. Natafuta room ya kupanga iwe na choo ndani(single self) mazingira yawe na usalama Nahitaji kuhamia harak sana. Yoyote mwenyej taarifa kindly assist me Natanguliza shukrani 🙏
  13. JamiiForums Tanzania Tuchuguzeni kwa makini hizi kelele zinazopigwa kuhusu Ubinafsishaji Bandari, mbona kama kuna Vigogo wawili wanapigania Maslahi yao binafsi?

    Hivi, 1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa? 2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha miundominu na utoaji huduma sasa mbona wafanyabiashara ndio wanapiga kelele hawataki kabisa kwani si...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa

    salamu wakuu.. naomba kuuliza mtoto amefaulu kidato Cha nne kapata divishen 2 masomo ya sayansi yote kapata c kasolo bailoj kapata A ndoto zake anatamani kuwa eiza awe rubani au injinia akikosa sana awe daktari sasa wadau kwaufaulu wake Hapo itawezekana malengo yake ili nimpambanie?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya kazi za Afisa Mipango na Mchumi kwenye taasisi au halmashauri?

    Habari wanaJF, Naomba kujua utofauti wa kazi au majukumu ya afisa mipango(Planning officer) na mchumi kwenye maeneo mbalimbali ya halmashauri au taasisi mbalimbali za serikali. Anayefahamu naomba anijuze.
  16. C

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie gharama za finishing nyumba kama hii

    Naomba wataalam wanisaidie gharama ya finishing nyumba kama hii
  17. S

    JamiiForums Tanzania JF Marubani, naomba yeyote anayefahamu kuhusu Ndege inavyoruka na kutua tuelimishane haya

    Habari ndugu wadau! Naomba mwenye ABC Kuhusu masuala ya urubani atusaidie kujibu kwa ufafanuzi machache kuhusu ndege inavyoruka na kutua. Pamoja na mengine; Naomba ufafanuzi 1. Kazi ya kifeni kule mbele kulikochongoka ni nini? 2. Je ndege inayoruka ndani ya Tanzania inatakiwa kutembea umbali...
  18. JamiiForums Tanzania Wadau naomba kujua sehemu za starehe zenye pisi kali Tanga mjini

    Wasalaam, Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali. Hawa wageni nataka...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye katiba ya CWT na Sheria ya vyama vya Wafanyakazi Naomba tafadhali

    Habari za mda huu ndugu zangu. Ombi langu ni moja. Nahitaji vitu viwili 1.KATIBA YA CWT 2.SHERIA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI Nitumie hapa hapa au PM
  20. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye wimbo wa "Mwaka wa Tabu" anitusaidie

    Habari za muda huu waungwana? Naomba mwenye wimbo huo hapo juu anisaidie. Nadhani uliimbwa na Mchinga Sound kama sijakosea. Nitashukuru sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…