naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Titus Christian Katunzi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
  2. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nisome programming language gani?

    .
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada, Nahitaji ardhi Songea ambayo haijawahi limwa

    Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Application yangu hii hapa kwa sasa ni ya android ipo testing naomba ushauri wako..

    Hello wakuu nimetengeneza application ya simu inayohusiana na Real estate jisajili tumia weka comments...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu hataki kufanya kazi. Mimi ndiyo na mlea na mtoto wangu, naombeni ushauri wenu

    Habari kaka... naomba ushauri mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 25 Nina ishi na mpenzi wangu niliezaa nae tunamiaka 8 mpaka sasa. Naomba ushauri kwani mimi najiona kabisa nakaribia kukata tamaa huyu kaka toka nimekua nae kwenye mahusiano alikuaga hana kazi mimi nikajitahidi pale nilipokuaga...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mimi kama shabiki wa Yanga naomba msamaha Simba kwa kuwaita Mwaka-robo

    Simba ilitinga robo fainali klabu bingwa Africa mara nyingi mfululizo, hadi kuipandisha ligi ya Tanzania na kwenye chati na kuwa moja ya ligi bora Africa, Yanga tukadhani ni kitu kirahisi tukabeza na kuanza kuwaita Mwakarobo Leo hii naona ugumu wa kazi waliyokuwa wanaifanya Simba, Yanga katika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo wa kwenda The Hague(ICC)

    Kutokana na vitendo vya utekaji, utesaji na pengine mauaji kushamiri katika Nchi hii, nakusudia kwenda The Hague(ICC) kuwashtaki baadhi ya wenye Mamlaka ili waiambie Mahakama ni kwa nini haya mambo yanayokea na wao ambao ndo wenye dhamana ya kuyazuia, wapo kimya?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Naomba makadirio ya fedha ujenzi wa nyumba hii

    Kiasi gani cha fedha kinahitajika hapa, kukamilisha ujenzi nyumba kama hii
  9. cold water

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Tofauti ya Umri Katika Mahusiano

    Naomba nianze kwa kujieleza, Nitaelezea changamoto katika mahusiano ninayoyapitia, hasa upande wa tofauti ya umri. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1993. Mahusiano yangu ya kwanza yalikuwa na mwanaume aliyezaliwa mwaka 1992. Kama nilivyoeleza mwanzo, tulipishana mwaka mmoja tu, yeye akiwa...
  10. John kirua

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa dawa ya matangotango/mbaa

    Habari ndg zangu naomba ushauri wa dawa ya matangotango/mbaa maana zimejaa mwili mzima hadi zinawasha hatari...
  11. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Wanawake naomba mnisikilize

    Aslaam, Wanawake emu eleweni kuwa mwanaume Huwa kwenye mahusiano na nyinyi Kwa sababu ya mambo mawili. Jambo lakwanza ni Kwa ajili ya ngono(sex) lakini la pili ni Kwa ajili ya upendo. Lakini linapokuja suala la ndoa huaga haangalii hayo mambo mawili niyoyasema hapo juu. Nabadala yake huangalia...
  12. Retards Finder

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba Connection ya Kinglion Kibaha

    Habari wakuu? Ndugu zangu mimi naishi Misugusugu Kibaha, hivi karibuni nimeanza kuona dalili za ukame kwenye kampuni ninayofanya kazi, jana nikaona niombe ruhusa kazini ili niingie zangu mtaani kucheki mazingira. Nyumba ninayoishi kuna vijana wanafanya mishe za ujenzi viwandani, kwenye stori...
  13. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la hii Movie wadau

    Heshima kwenu nyote. Kuna movie moja ya Kizungu niliwahi kuona jina lake humu ndani ila ni miaka zaidi ya mitatu nyuma nimesahau jina. Hiyo movie Starring hajui kupigana, yupo na mke wake na watoto na anawaokoa kwenye matukio kibahati bahati tu ila ni movie flani nzuri tu. Mwenye kufahamu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Habari za Leo wanajamii forum, naombeni nisaidiwe kwa hili. Nina kazi ya kukaa muda mrefu kwenye kompyuta (Coding Developer), na katika kipindi kifupi kilichopita, nimeanza kusumbuka na maumivu ya mgongo upande wa kushoto, chini kidogo. Hali hii inanipelekea kutoshika vizuri kwa muda mrefu...
  15. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta wazalishaji wa chupa hizi za plastik,Anayejua naomba connection

    Habari wakuu. Natafuta chupa za plastik hizi za kijani kubwa na ndogo,naomba maelekezo ya kiwanda maana nahitaji kwa wingi na biashara endelevu. Piga 0713 039 875
  16. mrPhysics

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa rotary scholarship naomba muongozo

    Wanajanvi habari za wakati hu, Samahani kwa yoyote mwenyewe ABC Za rotary club of osterbay scholarship, I mean when to apply, inatumia muda gani kutoa majibu na majibu yanamfikiaje applicants please share here Thanks in advance
  17. Malkia wangu

    JamiiForums Tanzania Wanaume naomba mnijibu tafadhali

    Hii inawahusu wanaume sio wavulana. Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako? Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana. Kumbuka anahonga Malaya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kusearch mtandaoni ile midoli inayovalishwa nguo katika maduka ya nguo

    Habari zenu Nataka kusearch mtandaoni ile midoli inayovalishwa nguo katika maduka ya nguo Naomba kuuliza je kwa kiingereza inaitwaje? ili niweze kuisaka huko Alibaba Ahsanten
  19. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kwa mtoto baba akitembe na mwanamke mwingine

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  20. Saidama

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kununua gari used ndani ya nchi

    Habarini wana jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejichanga changa, mungu kasaidia nimepata kitu kidogo, nimeamua ninunue usafiri kurahisisha shughuli zangu. Natamani nipate gari kama Spacio au Raum ila sina uzoefu kabisa na magari. Hivyo nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ni vitu...
Back
Top Bottom