naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri Kwa Huyu Msichana Nimefanya Kosa Au Ni maringo yake tu

    Ebwaana Eeh Kilichonikuta jana Kabla ya mkesha wa Xmass Ni balaa! Kuna kimchepuko kimoja nilikipenda kutokana na kuwa ni kizuri sana na kina umbo zuri sana nikaona sio mbaya nikitongoze.. Mtoto yule nimemtongoza Ila akawa ananitolewa nje ooh Mimi nakupenda sana ila ningependa tuwe kama kaka na...
  2. F

    JamiiForums Tanzania OMBI MAALUM: Naomba kujulishwa gharama za ujenzi wa Ikulu ya Dodoma.

    Heri ya Krismas. Ikulu kuu ya Taifa ya Chamwino iliyopo Dodoma ni Ikulu namba moja duniani kuwa na eneo kubwa sana la Aridhi. Sijasema ni Ikulu kubwa bali ndiyo namba moja kuwa na aridhi kubwa iliyotengwa kwa eneo la Ikulu tu. Majengo tu yamechukua ekari nane na eneo kubwa sana bado limebaki...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa Lissu ameamua kufunguka, naomba aulizwe:- je, ni kweli Wabunge 19 waliosheheni wake wa vigogo wa CHADEMA walijipeleka bungeni?

    Pamoja na covid-19 kubeba uongozi wa juu wa BAWACHA, lkn pia Kuna:- 1. Mke wa Benson Kigailla.....naibu katibu mkuu bara. 2. Mke wa Salum Mwalimu (naibu katibu mkuu Zanzibar). 3. Mke wa Ally Bananga (yuko ccm sasa).....alikuwa meneja kampeni wa mgombea urais wa chadema. Bila shaka kama Mnyika...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Wabangaizaji wezengu naomba mwaliko wa sikuku!!

    Wana jf (hasa wabangaiza wezangu) amani ya Bwana imetawala ,kila mmoja kwa imani yake . Mada hapo juu yahusika . Mimi kama mbangaizaji wa kila siku ,tafadhali sana naomba mwaliko wa sikuu kwa wabangaiza wenzangu, matajiri kaa mbali na andiko hili. Wabangaizaji wenzangu mpo , popote pale...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77 na Token haziingii

    Tatizo ni kwamba, nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77" na Token haziingii. Kwa sasa ni zaidi ya wiki tatu naongea na watoa huduma wa ngazi mbalimbali wakiniahidi kuwa mafundi wa karibu watafika kutatua tatizo lakini hakuna kinachoendelea mpaka sasa. Kila nikiwapigia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa.

    Kuna jirani yangu alipora kipande cha ardhi yangu kwa kuwa sikuwepo kwa muda wa miaka 4 pale nyumbani. Niliporudi na kuona hivyo, nilifungua kesi katika Baraza la Kata. Baraza lilifika kuangalia eneo husika linalogombaniwa ikiwa ni pamoja na mashahidi wa pande zote mbili kutoa ushahidi wao...
  7. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wale ambao ndugu zenu wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Bangi, Madawa n.k, naomba tuwasiliane kwa ajili ya matibabu

    Wale ambao mna watoto au ndugu zenu Ila tayari wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Sigara na Bangi naomba tuwasiliane ili niwapatie matibabu. Tupo na kituo cha rehabilitation (Rehab) Kwa ajili ya HUDUMA zifuatazo: 1. Waathirika wa pombe , bangi na madawa 2. Huduma za kisaikolojia...
  8. Isenye

    JamiiForums Tanzania Naomba Mchango wenu wa mawazo kwenye hili jambo

    Za saizi wakuu! Nafanya kazi private sector.kuna sehemu nafanya kazi nalipwa 1.2m hapa Dar,lakini katika harakati za hapa na pale nikafanya interview sehemu nikapata mshahara ni 1m. Sasa kilichonifanya niombe ushauri ni mwajiri wangu wa sasa anaoperate kazi zake very local yani halipi NSSF...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kula vizuri🙏🏼🙏🏼

    Habari wakuu. Baada ya kugundua kuwa sina uwezo wa kujenga,kununua gari au kwenda mavacation nimeona nifurahie maisha kwa japo kula vizuri kama matajiri.Starehe na anasa yangu iwe kula vizuri. Uwezo wa kula vizuri ninao ila siridhiki na vitu ninavyokula.Najikuta kila siku nakula vitu vile vile...
  10. Wauzaji wa Aluminium

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mnahitaji kusafirisha containers, lose cargo n.k naomba tuwasiliane ili muweze kupata huduma bora za usafirishaji

    This service for now is unavailable , we Appreciate your endeavors in making us great Thank you 🙏🏽
  11. shaban abdala

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitenge hususani jijini Dar es Salaam

    Habari Wana JF Naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitenge hususani jijini Dar es Salaam.
  12. kats5

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata review ya perfomance ya pikipiki ya sinoray cc180-18

    Habari za leo wakuu, hongereni na majukumu, Kama kichwa cha habari kinavoeleza, kwa mzoefu tafadhali, naomba kupata kujua zaidi pikipiki ya. 1. Sinoray cc 180-18 (PUSHROD) na 2. Sinoray cc 180-18(TIMING CHAIN). Katika vigezo vifuatavyo, 1. Ubora na uimara 2. Re- sale value na kadhalika...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Sijalipwa malipo yangu ya Vita ya Kagera, kila nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai

    Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa. CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
  14. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania NDUGU ZANGU WATANZANIA: Naomba mnisaidie kusikitika ni hili la uwanja wa Taifa.

    SELIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA IMESAINI MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA TAIFAA. Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika...
  15. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Kuna kanisa moja dogo lipo Kigamboni, naomba utembelee hapo kama unahitaji kukutana na mtumishi wa kweli na utanishukuru

    Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV . Na hawa ndo watumishi wa kweli . Nitatoa ushuhuda ufuatao . Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless ...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni sawa.? Naomba munisaidie

    Niliwahi kuandika hapa juu ya kinachoendelea katika baraza la La Ardhi wilaya mwanza Nina Mambo mengi ambayo nitayaongea huko mbele baada ya kesi kuhukumiwa. Na ushahidi wetu uko kwenye sauti na message. Nitapenda viongozi wote wa selikari wanasheria. Mawaziri wote na kila kiongozi asikie...
  17. ALENI WAKALA

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Ushauri, Kazi, Mtaji, au Vifaa vya Kusikilizia

    Habari wanajamii, Naitwa Allen, Samahani Kwa usumbufu, natambua mna mambo mengi ya kufanya ila kwa MDA wako umeamua kupitia Uzi huu🙏🏿, Napitia changamoto ya Usikivu hafifu Kwa takribani miaka mitano (5) hali ambayo imeathiri sana maisha yangu ya kila siku. Nimezunguka HOSPITALI tatu (3)...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Naomba nitoe ushauri huu kwa serikali kuhusu wasanii wa Tanzania.

    Please Moderator msiunganishe huu uzi maana mtakuwa mmefeli big time. First of all naipongeza serikali Kwa kufikiria wazo la kuwasaidia wasanii kuhusu kutibiwa magonjwa ya moyo Hili wazo sio baya Ila napendekeza mjaribu kuliboresha kwa kuhakikisha wasanii wote ambao wanajihusisha na sanaa...
  19. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Hatua ya msingi imeisha naomba tathimini

    Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 . Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz , Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili ni master) jiko na sehemu ndogo ya kula Lengo mwakn natak niwe na 10m. Ya pamoja vp itawez...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata pesa zangu kutoka mfuko wa jamii baada ya kutoka taasisi binafsi na kuhamia Serikalini?

    Habari zenu, Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF. Je, akihamia Serikalini huyu mtu ataweza kutoa mafao yake NSSSF?
Back
Top Bottom