naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuonana na Maafisa wa Usalama wa Taifa ngazi ya mkoa

    Wakuu habari za wakati, ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Naomba kufahamu utaratibu wa kuonana na watu au ofisi ya watu wa usalama wa taifa katika ngazi ya mkoa.
  2. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Jinsi ya Kurekebisha Picha Inayokatika kwenye Televisheni

    Habari zenu, Poleni na majukumu. Natumia televisheni ya Rising pamoja na king’amuzi cha Azam TV. Mdogo wangu alibonyeza kitu kwenye rimoti, na sasa picha kwenye televisheni inajikata pamoja na menyu ya Menu. Naomba msaada, nibonyeze wapi ili nirekebishe tatizo hili? Ahsante sana!
  3. John kirua

    JamiiForums Tanzania Ushauri naomba!

    Hiv ni kwanini mwanamke umehamua kuishi nae wote mnafanya kazi Lakini anakutegemea kila kitu ndani basi nimenunua mwanaume kila kitu ndani bado ni mtihani hata kama sabuni imeisha anaitaji utoe ela yako wakati vitu vidogo kama ivyo anauwezo wa kufanya Unamuliza ela zake anapeleka wapi...
  4. buffalo44

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa Mawasiliano ya DIT-ICT, VETA TEHAMA

    Hello wakuu Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa cha habari kinavyojieleza msaada wa mtu yoyote mwenye mawasiliano ya wahusika wa Kitengo cha TEHAMA...
  5. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanye nini hapa

    RAFIKI YANGU ANAOMBA MSAADA HAJUI AFANYAJE ,KADHULUMIWA HII NI STORI YAKE KWA UFUPI ".Nimezaliwa Kigoma .siweki wazi ni Kigoma sehemu Gani Kwa sababu ni hatari kwangu nitoshe kusema vile nimesema. Mwaka 2012 Niliondoka Tanzania Nikaelekea south Africa. Safari ilianza .nilisafiri Kwa Bus...
  6. Vanclassic

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu hiki kitu..

    Habari za pilika Na majukum.. Kuna kitu Naomba kufahamu kutoka kwenu wakuu.... Hususan waliosoma chuo cha NIT.. au ambao bado wanasoma.. Nina mdg angu anasoma pale NIT ila hadi leo analalamika hajaingiziwa hela ya boom Wakat kwa madai yake ilitakiw apewe mwez Huu mwanzon (November)...
  7. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuverify google developer account

    Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa Google developer sijui wanataka Nini Msaada account yangu ipo suspension Msaada kwa mwenye uzoefu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras

    Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant about it. So ningependa kuwa enlightened, Dunia inaenda Kasi jamani. Your contributions would be...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa uhalali wa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili?

    Kuna chuo kinaitwa Ebonite cha Kimara Bucha kinatoa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili. Hii diploma ni halali na nikitaka kuthibitisha uhalali wake nafanyaje!?
  10. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze vipindi vya Crown FM pamoja na watangazaji wa hivyo vipindi

    Wakuu naomba mnijuze vipindi vya Crown FM Radio na watangazaji wa vipindi hivyo maana kuna jamaa anaisifia sana hiyo redio. Tangu Crown FM ianzishwe sijabahatika kuisikiliza zaidi ya kuambiwa na huyo jamaa kuwa ni bonge la redio hapa nchini Kwa sasa. Mwili ulinisisimka Kwa jinsi jamaa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nimeumbuka, naomba msaada wa kisaikolojia ndg zangu!

    Nilikuwa naongea na watoto (wanafunzi) kama 100 hivi. Basi katikati ya maongezi ikanijia chafya, nikaziba mdomo tu nilijua kuwa sina tatizo lolote na ni chafya ya kawaida tu kama zile zingine. Ajabu ni kuwa nilipopiga tu ile chafya lilitokea pande kubwa puani la kamasi mbichi na nzito sana...
  12. Dfw_1k

    JamiiForums Tanzania Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naogopa watanichukuliaje?

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia Naombe ushauri wenu?
  13. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu rangi za taasisi

    Kuna mvutano kidogo kuhusu rangi za jezi,katiba ya yanga inataja rangi za klabu ni njano,kijani na nyeusi,sasa jezi zilitolewa safari hii hasa za mashindano ya kimataifa,ni tofauti na hizo zilizotajwa kwenye katiba,je katiba imevunjwa?Wataalamu wa sheria naomba ufafanuzi
  14. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu uhalali wa nakala ya kitambulisho cha taifa

    Habarini familia ya JF; Poleni na Musiba na Majanga ya Kariakoo. Naomba kujua Mimi niko na Namba za NIDA Muda mrefu sana ila sina kitambulisho cha Nida Sasa kinatakiwa haraka kuna mtu Kaniambia Niende tuu kwenye Stationery wanayotoa Copy pia Nitengeneze ila kitakuwa kama Copy ila kina Nembo...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya magodoro

    Nataka kuwa wakala wa kuuza magodoro ya TANFOAM ARUSHA, naweza kupata mawazo jengefu zaidi kuihusu hii biashara. Nataka niuze mattress, mataulo, mashuka nk. Mbeleni niongezee vitanda pia. Hii biashara changamoto zake ni zipi na faida yake imekaaje kwa wenye ujuzi nayo tafadhali. Ahsanteni.
  16. Baba Benson

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kujua mahali naweza pata nafasi Quality assurance officer

    Habari wana JF katika jukwaa letu hili pendwa, Nina shahada ya sayansi katika kemia UDOM. Sijabahatika kupata kazi serikalini kama mnavojua ugumu ulivo lakini nimefanya kazi katika kitengo cha ubora ( Asst lab tech na Quality supervisor) katika kiwanda cha kuchakata samaki ambapo kimsingi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kuweka rangi maandishi ya JF

    Ndugu zangu wana JF, naomba msaada jinsi ya ku highlight, kuweka rangi nk, humu JF. Ahsante.
  18. christopher mlewa

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; Nipo kwenye dimbwi la mawazo baada ya kutembea na mwathirika wa UKIMWI

    Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25. Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa...
  19. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Mwanangu amemaliza darasa la saba na amepata alama hz Ana c moja tu D nne Na e moja Naomba walimu mnijuze km kuna uwezkano wa huyu dogo kupangiwa shule na selikali
Back
Top Bottom