Nipe jina lolote
Senior Member
- May 1, 2024
- 109
- 188
Hii inawahusu wanaume sio wavulana.
Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako?
Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana.
Kumbuka anahonga Malaya laki sharti awe mweupe TU . Sasa Mimi cheusi Mangala nikitaka mahitaji ya watoto napewa 20,000 .
Wanaume ni .............