Wakuu nilianza kupata changamoto ya hairline kurudi nyuma japo umri wangu ni miaka 28 nilijaribu kutumia mafuta mbalimbali but sikupata matokeo. Ni kwamba nywele zangu za mbele zimeanza kuondoka.
Baada ya kufeli nikaamua kutumia Minoxidil kirkland nakimbilia mwezi sasa but changamoto nayikutana...
Eid Mubarak.
Naomba kueleweshwa mfuko wa bond wa UTT AMIS.
Mfano muwekezaji akiwekeza million 100, gawio lipoje?
Na je kuna uwezekano wa mtaji huo wa million kukuwa?
Na je hizo bond huiva baada ya muda gani?
Habari za wakati ewe Boss au dereva mwenzangu.
Naamini chuki husababishwa na hasira basi nakuomba hiyo chuki itoe kwangu unipe connection ya Kazi ya udereva.
Mimi ni professional Driver.
Nimesoma Basic Driving Veta Cheti ninacho
Nimesoma Professional Driver kwenye chuo cha National Institute...
Habari ndugu zangu. Kuna ndugu yangu ana nyumba huko Mbezi Msakuzi. Leo wameitwa na mwenyekiti wa mtaa na kuelezwa kuna mtu amekwenda ofisini kwake akamueleza anaomba ampatie barua ya kufufua mipaka ya eneo lake.
Kwa maelezo ya mwenyekiti, mama huyo anadai mumewe alinunua eneo mwaka 1989 na ana...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo
Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
Nina miaka 25
Elimu ni shahada ya maendeleo ya jamiii.
Mahali ni Dar es salaam
Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu.
Ya kutumia nguvu akili nk
Ila isiwe kazi haramu hata kama ni haramu niambie niangalie risk zake kwanza.
Ahsante sana
Kutokana na kuumwa na kila kitu bila kujua tatizo nn nimejisogeza hosptal katika vipimo nikaambiwa damu ni nyingi km 18.8 lkn nikaambiwa nina h-pylori na mm siumwi tumbo naomba kueleweshwa juu ya huyu bacteria anaweza kukupata bila maumivu ya tumbo?
Ni muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September 2025 na hiyo ban ilipaswa kuwa lifted by December 2025.
Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members...
Nina akaunti ya biashara NMB. Jana nimedownload statement yangu imesoma kama unavyo ona hapa chini:
Ni kipi kinasababisha Monthly Fee ya kila mwezi itofautiane?
Kilichofanya nilete mada hii hapa ni baada ya kuona nimekatwa Monthly fees Jumla ≈ TZS 227,780.85 na hiyo imefanyika ndani ya siku...
Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa.
Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
Anonymous (8196)
Thread
afya
ajira
ajira mpya
hii
idara
idara ya afya
ifutwe
kuhusu
kujikimu
malalamiko
manispaa
mpya
naomba
pesa
pesa za kujikimu
post
watumishi
Mimi ni mwanamke lakini nina mchumba anaitwa X tulikua tunafanya kazi mkoa wa Ruvuma Songea kwa sasa yeye anahamia mkoa wa Njombe kikazi pia na itakua permanent place yake
Hofu yangu ni mahusiano kuvunjika
Ushauri wenu japo anasema ananipenda umbali Sio shida, nawaza atanisahau akienda huko...
Niaje? Mtaani Hali kugumu deile kila kukicha unasema afdhali ya Jana wapambanaji tusichoke kupambana life ni gumu balaa, wana ndo tunasota nao tukipeana mahope siku Moja tukatoka tu🙏😔naamini Hilo deile wadau wangu
Nimekuja na mishe yangu hii naomba mnielekezs app ya kupata mkopo mtandao
Hebu njoen
Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 naomba nisaidie mawazo mm nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana
Ananipa kila kitu nnachotaka
Nakatazwa kutoka nje hata nikienda kwetu napelekwa na kurudi nna mama na pia baba yangu alikufa nna baba wa kambo nakatazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.