Naomba kueleweshwa juu ya H-Pylori

Naomba kueleweshwa juu ya H-Pylori

Abdull hameed

Senior Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
112
Reaction score
213
Kutokana na kuumwa na kila kitu bila kujua tatizo nn nimejisogeza hosptal katika vipimo nikaambiwa damu ni nyingi km 18.8 lkn nikaambiwa nina h-pylori na mm siumwi tumbo naomba kueleweshwa juu ya huyu bacteria anaweza kukupata bila maumivu ya tumbo?
 
Ndio. Bacteria hawa wanasababisha vidonda vya tumbo. Usipotibiwa unaweza hata kufariki. Pia huambukizwa kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kupitia ngono ya mdomo/ denda au mazingira ya uchafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom