nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi watumwa, wananchi wenye nchi watumwa, nani wa kuukomesha utumwa?

    Dhana ya utumwa imekuwa ikibadilika kulingana na vipindi tofauti vya muda. Enzi za mababu zetu utumwa ulikuwa ni wakufungwa minyonyoro na kufanyishwa kazi ngumu bila ujira. Taifa likaja kupata uhuru ikawalazimu wakoloni kuacha makoloni yao ambapo kiukweli hawakupenda ndio maana wakaendeleza...
  2. JamiiForums Tanzania Tsh. 300,000/- ipo mfuko wa shati, nani aniuzie simu yake iliyotumika?

    Naam pesa taslimu Tsh. 300,000/= ipo nahitaji kupata simu used kutoka mtumiaji wa Tanzania achana na hizi used from Dubai. Leta ofa yako tufanye biashara 🤝🏽
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Organized Crime(?): Nani wapo nyuma ya Ramla Said Ahmed?

    Huyu ni Mmiliki wa Sharjah Trading (nitaeleza kwa undani kuhusu hii kampuni). Miaka michache iliyopita wakati wa utawala wa Magufuli alikamatwa, akafunguliwa kesi ya utakatishaji fedha akafanya plea bargaining, ikakubaliwa - akalipa faini na kuachiwa. Ramla alikamatwa juma lililopita, siku ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji mkataba na DP world kwa manufaa ya nani?

    Nguvu nyingi inatumika bIla shaka kupotosha kuhusiana na mkataba huu. Kwamba tuna aina hIzi za watu mezani: Ni dhahiri bin shahiri kuwa, kuna wanufaika hapa na bila shaka si wananchi.
  5. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa Mitazamo ya hawa Wafuatao ndiyo Mitazamo ya Watanzania wote na wako sahihi?

    1. Profesa Shivji 2. Tundu Lissu 3. Freeman Mbowe 4. Dk. Wilbroad Slaa 5. Harold Sungusia 6. Godbless Lema 7. Dk. Charles Kitima GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
  6. JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile

    Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu...
  7. JamiiForums Tanzania Putin alia lia kuhusu gharama aliyoingia ili kuwakimu Wagner, nani kamtuma

    Kuna wakati Urusi iliwahi kukana uwepo wa kikundi hiki cha Wagner, ila imejikuta ikiwakubali na Putin kukiri hadharani hela alizotumia kukidhi mahitaji yao, hela ndefu sana hadi inamuuma, $1b sio mchezo aisei, mwenyewe kawalea na nusra wamle kichwa, ndivyo huwa kwa watu wanaolea viumbe vya ajabu...
  8. JamiiForums Tanzania Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?

    Waungwana salaam Ni bayana kwa mujibu wa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 ibara ya 118 Ikisomwa pamoja na ibara ya 120 zinaweka wazi kuwa Jaji Mkuu atastaafu punde atakapotimiza umri wa miaka 65. Na kwa kuwa Jaji Mkuu wetu Profesa Ibrahim Juma ametimiza umri wa miaka 65 tarehe 15/06/2023 hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hatimiliki ya hii nchi

    Hawa watu wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hati miliki ya hii nchi, ndiyo wanaona inawapa uhalali wa kuingia katika mikataba yoyote wanayotaka. Kwa maana kwamba hakuna mtu yeyote anayeweza kuwaita wezi, kwa vile hawajaiba kitu cha mtu yoyote. Lakini ukitazama maandiko ya...
  10. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wanasayansi wanawajibishwa na nani?

    UKOSEFU WA UWAJIBIKAJI WA WANASAYANSI KATIKA UHARIRI WA VINASABA. Uhariri wa vinasaba (genetic editing) ni mchakato wa kubadilisha au kurekebisha sehemu za vinasaba (DNA au RNA) ya kiumbe hai. Teknolojia ya uhariri wa vinasaba inaruhusu wanasayansi kufanya mabadiliko maalum katika vinasaba...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Mfano hawa ni DP World ndo wawe wanalipa mishahara ya Watumishi. Nani awapinge?

    Labda ndo iwe hivyo. Enhee!? Mtafanyaje? Ok.. labda tuseme hawa DP World ndo wamewezesha madaraja kupandishwa.. au hata ajira mpya.. mtafanyaje!? Na wale wabunge mnafikiri wako kapa? Kwani Watanzania hatuwezi kuwaza kwa Sauti?
  12. JamiiForums Tanzania Hawa wametumwa na nani? Taifa tunamjua mshindani Mikataba ya Bandari?

    Wakati tuko kwenye majadiliano ya kibiashara kuhakikisha tunamuwin DP World katika mkataba na taifa likapata faida katika mradi wa uwekezaji bandarini, Wanaibuka Watanzania wenzetu toka chombo cha habari Wasafi Media na akina Maulid Kitenge na wenzake wanalisaliti taifa na kuwa maafisa masoko...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi yenye watu Jeuri na kutamba kama Tanzania? Sipati picha iwapo tungekuwa na Uchumi wa hata Dubai tu!

    Niambieni, kwa jinsi walivyosimama hapo na mwonekano wao,unadhani ni nani anayedhaniwa kuwa ndo anatakiwa asainishwe mikataba ya DP word? Kati ya nchi ambazo watu wake ni jeuri, walisharidhika na umasikini wao, na mambo yao ni poa sana, na wenye uwezo wa kuuza chochote bila kufikiri ya badaye...
  14. JamiiForums Tanzania Natabiri Elon Musk wa Tesla/Twitter kumpiga KO Mark Zuckerberg wa Facebook kwenye Pambalo lao la Masumbwi

    Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada. Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark kwa KO. --- Mr Musk posted a message on his social media platform Twitter that he was "up for a...
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya Mbunge na Mwalimu nani anawajibika kuwa na Elimu ya Juu kwa maslahi mapana ya Taifa?

    1) Navyo ona wabunge wanapaswa kuwa angalau wameishia kidato cha sita na sio kusoma na kuandika huku wakipokea mamilioni ya pesa. 2) Mwalimu ambaye atapokea shilingi 300000 - 370,000 bado et unataka afanye mtihani ili aajiriwe kwakigezo cha kupandisha hadhi ya elimu kumbe mkitaka wajitume...
  16. JamiiForums Tanzania Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

    Heshima kwenu wakuu. Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa. Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nani anayeihujumu TTCL? Kuna tatizo la kuadimika kwa laini, zinauzwa mpaka 7000

    Nani anayeihujumu TTCL kwa kiwango hiki? Kuna mmbo fulani yanaendelea kwenye TTCL kiasi kwamba tunaona kama ni hujuma kwa TTCL: Kwanza, kipindi kirefu sasa ukitafuta laini za TTCL kwa mawakala wanakuambia hamna. Ni kweli shirika likose laini ambazo kimsingi ndio mteja na ndio zitachochea...
  18. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kwenye elimu Tanzania - ni nani anahusika?

    Matokeo ya mtihani wa moko wilaya ya darasa la saba yametoka na kutangazawa na mamlaka ya elimu. Ni matokeo mabaya kuwahi kutokea kwa miaka mingi tangu kuanzishwa kwa shule hii ya msingi Nyakavangala. Kamati ya shule inaweka taarifa ya matokeo katika ubao wa matangazo. Wazazi na wananchi wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nani Ameanza kumwandikia nyimbo Alikiba hivi karibuni?

    Ningependa kufahamu anaye mwandikia Ali mashairi siku hizi. Kwani Toka Ngoma ya UTU to the latest songs ie mahaba and on fire it seems mwandishi ni mmoja kabisa. Kusema kweli mashairi ya kwenye hizi nyimbo yamepangiliwa na kupangika kwelikweli. Ndiyo maana nyimbo zake hizi latest vijana...
  20. JamiiForums Tanzania Nani aliwashauri Makampuni ya Mawasiliano kushughulikia matatizo ya wateja wao kupitia mitandao ya kijamii?

    Ni hivi wakuu, Ni nani aliyewashauri haya Makampuni ya Simu kutoa Huduma ya Wateja kwa njia ya sauti na kuipeleka kwenye mitandao ya kijamii? Yaani ukipiga simu unaambiwa unaweza kuchat na sisi kwenye mitandao ya kijamii, na ukienda kuuliza shida yako huko wanachelewa kujibu mpaka unatoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…