Dkt. Dyaboli Moyo aliyeandika kitabu chenye "ukakasi" Wasomi Wajinga ni nani?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2022
1,689
3,259
Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi.

Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu.

Hata humu JF sijaona sehemu kikizungumziwa.

Ni nani muandishi wa kitabu hiki? Umekisoma?

1697830734618.png

Kuna dokta mmoja pale Muhimbili aliniambia huyu Dkt. Dyaboli alifukuzwa kazi pale Mhimbili miaka kadhaa nyuma kwasababu ya uandishi wake, hasa hicho kitabu cha Wasomi Wajinga.

Ila juzi kati hapa nimeskia eti jamaa alikamatwa kimyakimya na wanausalama kwa madai kwamba kitabu chake kinachochea uhaini na mpaka sasa haijulikani aliko.

For the record; naskia huyu jamaa ni msomi mzuri sana ana PhD ya uponyaji wa asili, udodosi wa akili na falsafa na alisoma Egypt huko.

Sijui kwanini Afrika haiwapendi wasomi kama hawa. Ukisoma hicho kitabu cha Wasomi Wajinga, aisee huyu jamaa akili yake sio ya kawaida. Ni levo flani za akina Profesa Euphrase Kezilahabi, Ngugi wa Thiong'o na Chinua Achebe.

Kuna siri nyingi za michezo ya serikali zimefichuliwa ndani ya hiki kitabu ila kama na wewe ni msomi mjinga huwezi kuambulia kitu humo
 
Mmoja wa wajinga wasomi yumo humu....
 
Kweli walimshika jamaa? Sidhani. Kwasababu watanzania hawasomagi vitabu kwa hiyo hana tishio lolote
 
Kuna Dr mmoja pale ud sijui somo analofundisha halina mbadala hapa tz, yaani jamaa ni mkorofi balaa na hakuna wanachoweza kumfanya, hajaajiriwa na chuo Moja kwa Moja nadhani ni department tu wanamlipa anafanya part time na anafundisha kozi Hio Hio

Jamaa Kuna siku nawahi department sijui nilikua na ishu Gani nakuta jamaa kavua shati ofisi ya mkuu wa department anadai mshahara wake umechelewa😃😃😃😃
 
Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi.

Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu.

Hata humu JF sijaona sehemu kikizungumziwa.

Ni nani muandishi wa kitabu hiki? Umekisoma?

Nahitaji hcho kitabu kinapatikana wap?
 
Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi.

Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu.

Hata humu JF sijaona sehemu kikizungumziwa.

Ni nani muandishi wa kitabu hiki? Umekisoma?

Umeona tunakupotezea sasa unajipromo

Basi sawa
 
Kuna Dr mmoja pale ud sijui somo analofundisha halina mbadala hapa tz, yaani jamaa ni mkorofi balaa na hakuna wanachoweza kumfanya, hajaajiriwa na chuo Moja kwa Moja nadhani ni department tu wanamlipa anafanya part time na anafundisha kozi Hio Hio

Jamaa Kuna siku nawahi department sijui nilikua na ishu Gani nakuta jamaa kavua shati ofisi ya mkuu wa department anadai mshahara wake umechelewa😃😃😃😃
Yale majani yetu...vp yanahusika?
 
Aliandika pia kitabu cha SIRI YA NGONO TAMU nina softcopy yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom