Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes na kufanya mazungumzo ya namna ya kuboresha ushirikiano katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ngazi ya Mamlaka za...
Kuna ile unaenda dukani kununua bidhaa fulani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia"
Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa au umempiga mwenye duka? Huwa inauma inakata sana unajiona leo mtoto wa mjini naelekea kupigwa nini...
Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada.
Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
Kipindi kile CHADEMA ilikuwa na nguvu kiasi cha kukaribia kuchukua dola. Dk Slaa alikubalika sana watu walitaka ukombozi.
Lakini Zitto Kabwe akatumiwa kuisaliti Cdm akawa anapewa pesa kwenye magunia ili awahonge wanachama makini wa CHADEMA Warudi CCM.
Hakustahili kabisa kupewa nafasi kuongea...
Hii app inalipa kama ukifanya kazi zao kwa saa wanalipa 10usdc kujibu maswali yao kwa saa moja tu , kama kuna yeyote anafanya kazi hii naomba tushare mawazo
NB; hii kazi lazima ujue kiingereza walau basic english
Mwezi Julai 2025, wanafunzi na walimu 20 wa Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang waliwasili Port Elizabeth nchini Afrika Kusini, na kuwa wimbi jingine lisiloyumba la mawasiliano ya kielimu baina ya China na Afrika yaliyoanzishwa katika miaka ya hivi karibuni.
Wakati mwaka 2026 ni wa mawasiliano...
My people,
NAMNA YA KUFANYA MAJADILIANO YA KIDINI NA WASIO WAKUWA WAISLAMU KATIKA UISLAMU
Uislamu ni dini ya hikma, adabu na rehema. Unapozungumzia dini na watu wasiokuwa Waislamu, Uislamu hauhimizi mabishano ya jazba, bali majadiliano yenye hekima, heshima na lengo la kufikisha ukweli kwa...
Hatari Wana jukwaa
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu.
Ninahitaji kuwa na app ya kukopesha pesa mtandaoni lakini sijui ninaipataje, ninafahamu hum Kuna wataalamu WA Kila kitu.
Hivyo ninaomba msaada wenu wakuuu kuhusu njia za kutengeneza hiyo app au gharama zake mpaka niwe na app...
Jirani kama jirani ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku hasa hasa kama ikitokea mkawa mnaelewana vizuri.
Mnaweza kushirikiana katika shida na raha, wakati mwingine jirani yako anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko hata ndugu yako wa damu.
Pamoja na yote hayo wakati mwingine inaweza...
Sifa za "Black Sheep" (mwana kondoo mweusi) katika familia/kundi:
1. Hutofautiana na wengine – Ana mtazamo, tabia, au maisha yasiyoendana na ya familia/kundi.
2. Mwenye maamuzi huru – Hufuata njia yake bila kujali matarajio ya wengine.
3. Huonekana kama muasi – Anaweza kukaidi mila, dini, au...
Habari zenu! Mimi ni muislamu nataka kuoa binti Mkristo Mzaliwa wa Huko Gairo, Naomba nisaidiwe taratibu za huko za kuandika barua ya posa zipoje? mana nataka niende Wiki hii.
Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo
Kesi ya Uhujumu Uchumi...
Linaiva jikoni linasubiri kupakuliwa tuu! Hakuna uhuru wa kuua raia wako namna ile tena raia asiye hata na panga halafu usimame kujifanya oooh! Hii ni nchi huru wasitupangie nyokoooo , utatolewa kwa aibu uhuru wa nchi na nchi kuwa huru sio kofia au tiketi ya kuua raia wako hovyo hovyo hata kama...
Ninaishi na mke wangu na kwasasa ndoa yetu ina miaka 3 lakini moja ya changamoto ya ndoa yetu ni tabia ya mke wangu.
Uyu mwananke ana asira kibaya ni kuwa yeye hajuagi kabisa kudhiti asira yake na mara zote akiwa ana asira ninayeteseka ni mimi.
Maana anaweza kuokota chochote na kunirushia au...
Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu.Ndugu yangu kaunguzwa na toyo ilimlalia mguuni.Sasa amebaki na kovu,tunaomba msaada maelekezo ya dawa kwa anayejua tafadhari.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.