Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,045
Reaction score
27,243
Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..

Chukulia mfano waajiliwa,

Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli?

Huu si wendawazimu?

Alaf unasema umeishi?

Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike mahala binadamu ajue he's more than a cog in a mashine

Mwenye manung'uniko afanye kama hajaona kilicho andika hapa

Blue Monday hiyo, nendeni mkaendele kufanya kile kile ili msahau kuishi

Cc meghan markle
 
STK-20251013-WA0009.webp
 
Ukirudia jambo lilelile kwa miaka 50 lakini ukikua ndani yake, huo ni ustadi. Ukibadili jambo kila mwaka lakini usikue, huo ndio mzunguko usiokua na maana , Tatizo si kurudia jambo lile lile, tatizo ni kutokukua.
 
Variety is a spice of life,

Ukue kwenye kufanya jambo lile lile kama mashine? Hiyo ni illusion ya kukua ukirudia kile kile na kudhani unakuwa
 
Variety is a spice of life,

Ukue kwenye kufanya jambo lile lile kama mashine? Hiyo ni illusion ya kukua ukirudia kile kile na kudhani unakuwa
Kama kurudia jambo kunamaanisha kuwa mashine, basi mwanamuziki anayefanya mazoezi kila siku, mwanasayansi anayefanya utafiti maisha yake yote, au daktari anayetibu kwa miaka 40 wote ni mashine?
Unachanganya marudio ya kitendo na ukweli wa maendeleo. Kinachorudiwa ni kitendo, kinachokua ni uwezo, maarifa na ufahamu.

Huo ndio utofauti ambao hoja yako imeukosa.
 
Wote ni mashine...

Michael Jackson alishawahi kusema pia
My life was stolen from me
My childhood was stolen from me
Alijilaumu kuwa engrossed kwenye muziki maisha yake yoote

So that's an illusion of growth, ila unakuwa umejifungia kwenye box

Na most celebrities au watu mashuhuri unao wazungumzia wana pesa ya kuvinjari na kufanya watakalo

Reality cheki mwanadamu ambaye anategemea kazi kuishi, huyo hana way out so atafanya kile kitu mpaka anaingia kaburini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom