nairobi

Nairobi () is the capital and the largest city of Kenya. The name comes from the Maasai phrase Enkare Nairobi, which translates to "cool water", a reference to the Nairobi River which flows through the city. The city proper had a population of 4,397,073 in the 2019 census, while the metropolitan area has a population of 9,354,580. The city is popularly referred to as the Green City in the Sun.Nairobi was founded in 1899 by the colonial authorities in British East Africa, as a rail depot on the Uganda Railway. The town quickly grew to replace Mombasa as the capital of Kenya in 1907. After independence in 1963, Nairobi became the capital of the Republic of Kenya. During Kenya's colonial period, the city became a centre for the colony's coffee, tea and sisal industry. The city lies on the River Athi in the southern part of the country, and has an elevation of 1,795 metres (5,889 ft) above sea level.According to the 2019 census, in the administrative area of Nairobi, 4,397,073 inhabitants lived within 696 km2 (269 sq mi).Home to thousands of Kenyan businesses and over 100 major international companies and organizations, including the United Nations Environment Programme (UN Environment) and the United Nations Office at Nairobi (UNON), Nairobi is an established hub for business and culture. The Nairobi Securities Exchange (NSE) is one of the largest in Africa and the second-oldest exchange on the continent. It is Africa's fourth-largest exchange in terms of trading volume, capable of making 10 million trades a day.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Machimbo ya nguo Nairobi

    Habari zenu wanaJf, ninaulizia kwa yeyote mwenye connection za machimbo ya nguo Nairobi aniunganishe nayo. Nimesikia Nairobi kuna sehemu kama Eastleigh, Kamukunji na Dubois ambazo ni kama Kariakoo ya bongo. Nguo zao ni bei ndogo zaidi hata ya Kariakoo. Kwa yeyote mwenye ujuzi au connection...
  2. J

    PreGE2025 Ushahidi wa Mzee Mbowe akisema Msigwa ndiye aliyeshika chupa ya damu wakati wa kumsafirisha Lissu Nairobi huu hapa

    Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu.
  3. G

    Watu wa Pwani ni rahisi kuwa addicts? Kwanini wao wana uraibu mkubwa wa vilevi kuliko miji ya Nairobi, Meru, Kisumu, Nakuru, n.k?

    Dear Kenyans, tunahitaji ufafanuzi Kinacchoendelea kwa sasa Kenya naona kwenye TV na Mitandaoni mkoa ya Coast ikiongozwa na Mombasa hawataki miraa na muguka kuuzwa maeneo yao. The same substances are used all over the country, kwanini ume affect sana coast? Watu wa Pwani ni rahisi kuwa addicted?
  4. S

    Uvukaji wa border ya Namanga / Nairobi wengi wanaotumia hizi Noah wanamia njia haramu / Mizigo ya Magendo

    Habari, Ni jambo la kusikitiaha kuwa watumiaji wengi wa Noah za Namanga Arusha Wanasafirisha bidhaa za Magendo Na wenye bidhaa hizo hawavuki border Kwa kihalali. Nina video ya Mzee mmoja hapa alichukua Rushwa jioni hii ila nimeingiwa na huruma huyu Mzee asije anapoteza kiinua mgongo chake...
  5. Apul aenda Nairobi

    Hii ni miongoni mwa hadithi moja tamu sana. Ni ndani ya kijitabu kidogo chenye mvuto wa aina yake. Kilichochapwa 2007. APUL AENDA NAIROBI I Ilikuwa ikimuelezea kijana mmoja ambaye alienda mjini Nairobi kwa shemeji yake kutafuta ajira, bahati inakuwa kwake ni baada tu ya kufika nyumbani...
  6. Jomo Kenyatta (56) na Abdul Sykes (26) Katika Mkutano wa Siri, Nairobi 1950

    IKIWA HUJAPATAPO KUZIONA TARIFA ZA KIKACHERO ZA SPECIAL BRANCH 1950s "Tanganyika Political Intelligence Summary, March 1952": "...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul Wahid Sykes has dispatched letters to all branches asking members for suggestions under the following...
  7. B

    Yoweri Museveni awapa makavu wadau wa maendeleo katika mkutano wa IDA mjini Nairobi

    29 April 2024 Nairobi, Kenya Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda , William S. Ruto wa Kenya. Mkutano huo ulihudhuriwa na wakuu wa nchi 17 na pia maafisa wandamizi...
  8. Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

    Shalom, Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
  9. Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Kennedy Ngondi matatani kwa video ya kulazimisha kumpa mkono na kumkumbatia mwanamke wa kiislamu

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, nchini Kenya, Ken Ngondi, alionekana kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kumlazimisha mwanamke wa kiislamu kumpa mkono na kumkumbatia, katika hafla ya siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo limezua taharuki kutoka kwa wananchi wakitaka spika...
  10. Y

    Wazoefu wa safari za Nairobi

    Habari za Jumapili wapedwa. Napenda kuuliza Wazoefu wa safari ya Nairobi kutokea Arusha. Mimi naitaji kuelekea West Land. Lakini sifahamu chochote. Kwanzia Nauli ya kwenda na kurudi. Gharama za hoteli rahisi na sehemu Salama. Pia chakula na hela nichanci nikiwa navuka kuingia Kenya? Msaada...
  11. B

    Nairobi to Jozi?

    Nilikua Dar for a month hapo 2022, lakini kweli Dar pagumu aisee, ila nilijaribu niwezavyo kuhustle, kawni Ilinibidi nirudi Kenya, licha ya moja mbili tatu zinazotuma nipachukie hapa Kenya SANAA! Sababu zenyewe ambazo zikasababisha niondoke na kwenda Dar. Imefika mda tena masaibu yangu Kenya...
  12. Baadhi ya maeneo ya Nairobi kukosa maji kwa siku mbili

    Baadhi ya maeneo ya Mji wa Nairobi yanatarajiwa kukosa maji siku ya Jumatano na Alhamisi kutokana na kufungwa kwa bomba la maji kutoka Bwawa la Gigiri kwenda Bwawa la Karura - Barabara ya Outer Ring. Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu, Kampuni ya Maji na Usafi wa Jiji la Nairobi ilisema bomba...
  13. Mlipuko mkubwa watokea Nairobi, wahofiwa kusababisha vifo, majeraha

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki katika kijiji cha Mradi, mtaa wa Embakasi, mjini Nairobi baada ya mtambo wa gesi kulipuka muda mfupi kabla ya sita usiku wa Alhamisi, na kuliingiza jiji katika hofu, gazeti la Daily Nation liliripoti. Wengine dazeni kadhaa wanaripotiwa kupata majeraha ya kutishia...
  14. Tanzania sasa yapata kibali kipya cha kupakua na kupakia mizigo Nairobi. Kenya walitaka tufuate taratibu

    Baada ya maombi ya Tanzania kupata kibali kipya cha kuruhusu kupakia na kupakua mizigo kiitwacho Fifth Freedom Traffic Rights, ndege za ATCL sasa zimeruhusiwa kutua Nairobi. Ndege za ATCL zikiwa njiani katika safari za kimataifa safari hii zitaruhusiwa kupakua na kupakia mizigo katika katika...
  15. Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

    Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu. Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana. Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema...
  16. Paa la uwanja wa ndege Nairobi linavuja kama nje

    Lawama kuhusu paa zinazovuja katika uwanja mkuu wa ndege wa Kenya Waziri wa uchukuzi wa Kenya na mamlaka ya viwanja vya ndege wamekabiliwa na shutuma mtandaoni kufuatia malalamiko ya kuvuja kwa paa kwenye vituo vya uwanja mkuu wa ndege wa Jomo Kenyatta. "Mmoja wa wanachama wa timu yetu...
  17. Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

    Ni dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu mtu aliongezwa damu za Wachina, Wazungu na hata waafrica wenzake (Tunawashukuru wadau wote). Hata...
  18. N

    Shot in the Arm for Tourism as International Hospitality Group Inks a Management Deal with Nairobi Safari Club

    Partnership: Mukawa (Hotels) Holdings Ltd Directors Ms Clare Njeri Githunguri (left) and Ms Lilian Joy Nyagaki Githunguri (right) exchange the hotel management agreements with Swiss-Belhotel International’s Senior Vice President Laurent Voivenel (centre) at the signing of a deal for the...
  19. Wapi naweza angalia Derby ya Kariakoo hapa Nairobi?

    Wakulu wa nchito, Naomba anaejua wapi kwa hapa Nairobi naweza angalia Derby ya Simba na Yanga anifahamishe hasa pande hizi za Westland maana wiki ya Derby imenikuta huku bila kutarajia. Natanguliza shukrani
  20. Naenda Nairobi, wapi nitapata lodge ya bei rahisi?

    Wadau mlioko Nairobi niko njiani naelekea huko,mwenye kujua mitaa gani naweza kupata Lodge ya bei rahisi,budget yangu isizidi 1500 ksh kwa siku,chumba sefl contained...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…