Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Jul 19, 2021
2,791
8,005
Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu.
Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana.

Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema nyosha, twende Terminal ll.

Nikawa speechless, nimepigwa na butwaa na mshangao, inakuwaje aende Terminal ll wakati hiyo ni kwa ajili ya local flights?

Ninachojua Terminal lll ni kwa ajili ya International flights.

Ndugu zangu, naomba mnisaidie, nina huzuni sana moyoni, naombeni mawaidha yenu nisije nikawa namhukumu kwa ubaya baba wa watu bure
 
Usiwe na wasi wasi, terminal II pia inatumika. Ulipaswa kuwa na wasiwasi kama ingekuwa terminal I hiyo ndiyo exclusive local though kwa flight maalumu za kimataifa pia hutumika.
 
Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu.
Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana.

Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema nyosha, twende Terminal ll.

Nikawa speechless, nimepigwa na butwaa na mshangao, inakuwaje aende Terminal ll wakati hiyo ni kwa ajili ya local flights?

Ninachojua Terminal lll ni kwa ajili ya International flights.

Ndugu zangu, naomba mnisaidie, nina huzuni sana moyoni, naombeni mawaidha yenu nisije nikawa namhukumu kwa ubaya baba wa watu bure
Na wewe drop kwangu upoze machungu!!

Tena drop hapa Terminal six!
 
Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu.
Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana.

Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema nyosha, twende Terminal ll.

Nikawa speechless, nimepigwa na butwaa na mshangao, inakuwaje aende Terminal ll wakati hiyo ni kwa ajili ya local flights?

Ninachojua Terminal lll ni kwa ajili ya International flights.

Ndugu zangu, naomba mnisaidie, nina huzuni sana moyoni, naombeni mawaidha yenu nisije nikawa namhukumu kwa ubaya baba wa watu bure
upo sahihi uliposema ni umbumbumbu wako, maana terminal 2 kuna ndege za kwenda kenya nairobi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom