Wazoefu wa safari za Nairobi

Yasintajohn56

Member
Jul 26, 2022
25
47
Habari za Jumapili wapedwa.
Napenda kuuliza Wazoefu wa safari ya Nairobi kutokea Arusha.
Mimi naitaji kuelekea West Land. Lakini sifahamu chochote. Kwanzia
Nauli ya kwenda na kurudi.
Gharama za hoteli rahisi na sehemu Salama.
Pia chakula na hela nichanci nikiwa navuka kuingia Kenya?
Msaada tafadhali.

NB: Jinsia ya kike, passport ninayo, yellow fever, Covid-19 certificate. Hivi vyote nnavyo.
 
Back
Top Bottom