Wapi naweza angalia Derby ya Kariakoo hapa Nairobi?

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,144
Wakulu wa nchito,

Naomba anaejua wapi kwa hapa Nairobi naweza angalia Derby ya Simba na Yanga anifahamishe hasa pande hizi za Westland maana wiki ya Derby imenikuta huku bila kutarajia.

Natanguliza shukrani
 
Kama nyumbani Bongo una kisimbuzi ulichosajili padua Azam Max kwenye simu janja yako.

Vv
 
Bahati mbaya Westland hakuna vibanda umiza, mtaa maridhawa kabisa
 
Yaah hamna vibanda umiza... Ila hata bongo sijawahi ingia vibanda umiza naonaga miyeyusho wakati bar na pubs zipo. Ngoja nifuate ushauri wa kupakua App
 
Nenda Playstore au Appstore Download APP ya Azam Max, kisha lipia eflu 2, unafurahia game

Pia kenya kuna Ving'amuzi vya Azam TV, tafuta eneo lenye icho kisimbuzi wakuwekee game
Hapo kwenye kutafuta wapi ni kipengele ndio maana nikaleta kama wapo wanaojua wanisaidie. Ngoja nijaribu kwa App
 
Kama nyumbani Bongo una kisimbuzi ulichosajili padua Azam Max kwenye simu janja yako.

Vv
Home sinaga king'amuzi cha Azam, bila hivyo hata nikidownload App na kulipia sitoweza kuona?
 
Pole sana ....jaribu App....hukk EPL ndip kwao hao wazungu sanaaa
 
Yaah hamna vibanda umiza... Ila hata bongo sijawahi ingia vibanda umiza naonaga miyeyusho wakati bar na pubs zipo. Ngoja nifuate ushauri wa kupakua App
Life la Nairobi na bongo ni tofauti sana.
Bongo bar zimetabakaa pembezoni mwa road lkn Nairobi unaweza usione bar usipokuwa mjanja
 
Wakulu wa nchito,

Naomba anaejua wapi kwa hapa Nairobi naweza angalia Derby ya Simba na Yanga anifahamishe hasa pande hizi za Westland maana wiki ya Derby imenikuta huku bila kutarajia.

Natanguliza shukrani
pakua azam max kwenye simu yako na ulipie utaiona derby kwenye simu yako
 
Wakulu wa nchito,

Naomba anaejua wapi kwa hapa Nairobi naweza angalia Derby ya Simba na Yanga anifahamishe hasa pande hizi za Westland maana wiki ya Derby imenikuta huku bila kutarajia.

Natanguliza shukrani
Nenda pale JB BELLIMONTE utapata raha
 
Back
Top Bottom