nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania nahitaji mke wa kuoa aliye tayari

    mke awe na umri wa miaka 25 - 33 dini mkristo kazi yoyote asiwe na mtoto awe na upendo wa kwel na hofu ya mungu.... mwenye vigezo karibu pm
  2. Matata25

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada mwenye contacts za Nempak Tanzania

    Jamani nahitaji mawasiliano ya Nempak. Kama Kuna mtu mwenye number zao za simu zinazopatikana anisaidie. Natanguliza shukran za dhati.
  3. John Sin

    JamiiForums Tanzania Nahitaji tenda ya kuzibua mitaro, siogopi kinyesi wala tope

    Kutokana na ugumu wa maisha nimeona bora nianze kufanya kazi ya kusafisha na kuzibua mitaro sehemu mbalmbali za jiji la Dar es salaam. haszu Confession @cutewife Nawengine ambao mnaweza kutoa tenda mje,. hakika koleo na vifaa vingne muhimu vipo vinasubiri wateja.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji cheti cha kuzaliwa kwa haraka, inawezekana?

    Salamu,wadau! Nina umri zaidi ya miaka 45, sina cheti cha kuzaliwa. Nahitaji kitambulisho hicho kwa dharura ili niweze kuomba passport. Nina kitambulisho cha taifa (National ID), kitambulisho cha kazi, na TIN Number. Je, nifanyeje kupata cheti cha kuzaliwa?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata utaratibu wa hili kutoka Latra

    Samahani waungwana mimi ni dereva bolt nipo Mwanza lkn ninasiku km 30 sijaingi mzigo kwani document yangu moja ya Latra sina. Kwahiyo account imefungwa. Nilitamani kupata uzoefu kidogo kwa ambae amewahi kulipia na akapata latra anisaidie namna wanavyoipata ili hatimae niingie mzigoni maana...
  6. Frustration

    JamiiForums Tanzania Nahitaji PC used bajeti ni laki mbili tu

    Nipo Songea nahitaji pc yenye kuanzia 5th generation na core 5, bajeti ni kilo 2. Lakini pia napokea ushauri wenu. Nahitaji kwa kazi ya software za simu tu especially 4 bypassing services and works Meseji tu 0759189534
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Vifungashio vya jumla

    Nahitaji mifuko ile ya nailoni nyeupe ya kupimia kilo moja na kilo mbili hivi - ile mifuko ya kawaida kabisa sio ile yenye seal (sihitaji ile ya rangi) na Vifungashio vingine tofauti tofauti Naweza kupata wapi kwa Jumla (carton)
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki ya kuchaji used

    Wakuu habari, nahitaji pikipiki ya kuchaji used weka Bei na waqasiliano na pcha ya pkipki
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kunichezea na kuniharibia uvulana wangu.

    Nahitaji mwanamke wa kunichezea ,kuniharibia maisha na uvulana wangu.
  10. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Secretarybird nahitaji ushauri nasaha, no reforms no election imenitia matatani

    Asalamaleku wakuu! Wakuu naombeni mnipe ushauri Kwa hili lililonitokea maana yaonekana nimejichanganya na masikitiko pamoja na majuto yamenijaa hadi pomoni. Kama mnavyojua sasa hivi Kuna vuguvugu la "no reforms no election" na mimi ni mmoja wa mtu ninayeunga mkono hii movement na katika...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa Mwanaharakati wa wanyama wafugwao, kuhusu zoezi kuchinja

    Hawa wanyama ni wema na ni rafiki kwetu sisi binadamu Lakini binadamu wamekuwa wapumbavu na wakatili Kwa viumbe hivi Wanyama hawawezi kuongea wala kujitetea, watatetewa na nani ? 1. Kuhusu suala la kuchinja. Tunaweza kuwa tunahitaji kitoweo kutoka Kwa wanyama ila utaratibu wa kuchinja, ni...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

    Mimi ni kijana umri miaka 28 niko Dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... Tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nilikuwa najisomesha mwenyewe na kwa sasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nilikuwa nahitaji msaada wa kazi yoyote (isipokuwa...
  13. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji viti vya plastic

    Wapi naweza kupata viti vya plastic kwa bei ya jumla.. either kutoka kwa supplier au manufacturer. Nataka kwa ajili ya kufanya biashara ya kukodisha vitu, kwenye shughuli mbali mbali.
  14. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada: Kuunganishwa na Fursa za Kazi za Kusafiri na Mabasi ya Mikoani

    .
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mbeya, nahitaji kiwanja kwa bajeti ya 2m to 3m

    Wakuu poleni na majukumu. Moja kwa Moja kwenye mada, nahitaji msaada wenu, Mimi ni mhitimu wa chuo Cha MUST mbeya nlieamua kujitafuta hapa hapa mbeya. Baada ya kujitafuta kwa miezi kadhaa kitu Cha kwanza ikawa ni kutafuta eneo kwa ajili ya makazi. Kwa bajeti ya Milion2 hadi 3 naweza pata...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi (ke) awe dar na asitoke familia ya kishua

    Nahitaji mpenzi Umri wangu 33 Mpenzi ninayemuhitaji awe anaishi dar na asitoke familia ya kishua Nimeambatanisha picha ukiniridhia njoo pm
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba tukiridhiana aje awe mke

    Mimi ni kijana umri 33 Rangi black Mrefu wastani Nahitaji mwanamke mtulivu aje awe mpenzi tukiridhiana aje awe mke. Makazi yangu dsm
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Cheti Cha Kuzaliwa

    Nahitaji mtu ambaye anaweza kunisaidia kupata cheti changu cha kuzaliwa harafu akanitumia haraka iwezekanavyo. Scammers usipoteze muda wako, malipo yatafanika face to face na mtu wangu ambaye yupo bongo. Nahitaji mtu mwenye uzowefu na anajua kitachotakiwa kufanyika. Kwa bahati mbaya niliondoka...
  19. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutengeneza AI mfano wa CHATGPT

    Project hiyo hapo Nachohitaj mtaalamu anidavulie Gharama na nini cha kufanya
  20. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana waliomaliza form6 au wanachuo Tufanye nao kazi

    Vijana 6 wakufanya nao kazi SMARTWORK Kazi yao itakua ni kuniletea wateja wa internet bundle Tutalipana hapo hapo. Malipo ya juu 30,000 kwa siku Maripo ya chini 10000 kwa siku Kama upo tayari niandikie mawasiliano yako hapo chini Mawasiliano yyte kama email Simu Acc ya social media Au yute...
Back
Top Bottom