Habari za wakati huu wana jukwaa
Nahitaji kupata mtu kwa ajili ya kufanya nae biashara joint kwenye shughuli za uchimbaji
Nina uzoefu wa miaka 2 kwa sasa,nikiwa namiliki duara kadhaa,miaro ikiwa na crush(garasha),mashamba yenye uwezo wa kuchimba
Napatikana mkoa wa Mara wilaya ya Bunda...