Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,756
- 2,307
TANGAZO
Wanahitajika 5 Security Guards:
Eneo la Kazi - Kiwanda Kipo Temeke Dar
Sifa:
Waombaji watume CV zao kupitia What’s up namba hii: 0757 347 907
Dealine: 23 April 2026
Wanahitajika 5 Security Guards:
- Wanaume 3
- Wanawake 2
Eneo la Kazi - Kiwanda Kipo Temeke Dar
Sifa:
- Awe na uzoefu wa kazi ya ulinzi usiopungua miaka 2 na kuendelea
- Aliyepitia JKT atapewa kipaumbele (added advantage)
- Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
Waombaji watume CV zao kupitia What’s up namba hii: 0757 347 907
Dealine: 23 April 2026