Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,707
Huu ni mtanange wa kihistoria wenye ushindani mkubwa, kila timu ikihitaji pointi muhimu ili kujihakikishia nafasi ya tatu na kushiriki mashindano ya Ulaya.
Manchester United watajaribu kutumia uwanja wa nyumbani kupata ushindi, huku Liverpool wakisaka kuendeleza ubabe wao.