mzungu

Also known as muzungu, mlungu, muzungu, musungu or musongo, mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in predominantly Swahili speaking nations to refer to Caucasian people. The noun Mzungu or its variants are used in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (the word changed to "vozongo" in Malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Taarifa za uongo ni silaha kubwa ya Mzungu tangu enzi

    WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi wakubwa. Historia za uongo wa mzungu tunazijua sana sana, ila sielewi kwa nini kila kukicha akatoa...
  2. love life live life

    JamiiForums Tanzania Msikilize Mzungu akitoa sababu za Sub-Saharan Africa kuwa Masikini

    Huyo ni lecture; Anasema sub saharan Africa ni row material producers hiyo ni role yake katika uchumi wa dunia. Sub saharan countries ni muhimu kwa nchi zilizoendelea katika uchumi wake, Na hawataruhusu Sub saharan ku-escape katika role yake kama row material producers. Pia ameongelea kuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi au jinsia sio mzuri

    Ubaguzi ni kitu kibaya pale ambapo jamii moja uamini ni bora kuliko jamii nyingine kama ilivyo kwa mzungu kuamini anastahili kuongoza kila kitu duniani kwani ngozi nyeusi ina laana"wana amini hivyo" Akili hizo zipo pia kwenye jinsia mwanamme anaamini yeye ni bora anayestahili kutawala kila...
  4. lwambof07

    JamiiForums Tanzania "Nataka Mume mzungu mwenye pesa" - Rose Muhando

    Msanii wa Injili na Hit Maker wa 'Utamu wa Yesu' Rose Muhando anasema anaomba apate mume mzungu mwenye pesa. Rose Muhando ameshea hilo kwenye Instagram yake akiipa promo wimbo wake mpya huku akitaja ombi lake analotamani mwaka huu 2022. "Yesu nitendee, ombi langu mwaka huu nataka nipate mume...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

    Habari za leo wanajamvi! Nimeona nilete hili jambo kwenu labda nitapata msaada wa mawazo na ushauri wenu ili nielewenini nifanye. Mimi ni binti wa mid 20's km unavyojua kila mtu hua na malengo yake katika maisha basi na ana machaguo yake katika maisha km ambavyo mtu anapendelea mwanamke...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kudate na Mwanamke wa Kizungu raha

    Mwenzenu nimeanzisha magusioano na demu wa kizungu, kusema ukweli nainjoi sanaaaa, tena saaaana tu. Mfano Jana nimemgegeda, kinoma, yaaani anashukuru balaa, anasema hajawahi pitia mgegedo kama huu alioambulia kutoka kwangu. Asubuhi kaniandalia breakfast kali pamoja na juice na kisha akani drop...
  7. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mzungu ni nani? Naombeni mieleweshe hapa

    Mzungu ni nani? Kuna jamaa kanambia Mzungu ni mtu yoyote aliyezaliwa bara la Ulaya. Basi mimi nikamuuliza je Pogba ni mzungu kanibishia? Anadai Pigba ni mweusi hivyo hawezi kuwa Mzungu. Nikamwambia jamaa amezaliwa Ulaya? Kwanini asiwe mzungu? Basi tumebishana bila majibu, naombeni mnijuze...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85

    FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Bw de Klerk, ambaye pia alikuwa mhusika mkuu katika kipindi cha mpito cha taifa kuelekea demokrasia, alikuwa amepatikana na saratani mwaka huu, kulinagana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe anisikilize mimi na si yule mzungu, apige magoti chini kwa mama aje tujenge nchi Taifa linahitaji mchango wake

    Sisi kanisa tumefundishwa kuwa sharia haiwezi kumkomba mwanadamu, na mafundisho yetu kupitia bwana Yesu Kristo huwa tunaenda mbali zaidi kwa imani kuwa Taurati/sharia haiwezi kuleta haki kwa jamii, haiwezi kuleta amani kwa jamii isipokuwa kwa jina la Yesu mnakaa chini na kuonyanyana kwa zabiri...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Neema Village, Mzungu anayebadilisha maisha ya Wakina Mama Arusha, serikali yetu inakwama wapi?

    Poleni na Majukumu, Serikali yetu kwa sasa inapitia katika kipindi kigumu cha tatizo la ajira rasmi kwa vijana na watu wazima pia. Pamoja na Yote Serikali imekuwa ikisisitiza vijana wajiajiri bila kuwawezesha ni kwa namna gani vijana waweze kujiajiri. Jijini Arusha mzungu mmoja aitwae Michael...
  11. Mwadime

    JamiiForums Tanzania Mzungu mwenye moyo wa kibongo

    ndugu zangu, Kwanza nijitambulishe kwa kuthibitisha mimi ndiye mzungu wa asili ya Kimarekani. Jina langu ni Riley (kifupi 'Rai') au pia watu wa kabila Taita huniita Mwadime - uchague lile unalolipendelea kuniita. Kabla ya janga la UVIKO 19 niliwahi kuishi Afrika Mashariki haswa Tz takriban...
  12. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Usipendelee kupaki gari chini ya miti mathalani gari za Mzungu

    Huu uzi nmebase kwenye gari zote ambazo ECU (Control box) ipo upande wa engine ambapo zaidi ya asilimia 90 ya gari za Ulaya na Marekani zinaingia hapo. Ingawa zipo gari nyingi tu za Asia ambazo control box imefungwa upande wa engine mfano kuna nissan moja nimesahau tu model yake ila ina engine...
  13. Leak

    JamiiForums Tanzania Watu wa marketing / matangazo mnawaonaje wenzenu wa huyu mzungu wa upeno ,imani na miujiza?

    Hivi hawa watu walikuwa wana bandika mabango muda gani na matangazo yao? Wataalam wa matangazo na masoko mnawazungumziaje hawa jamaa waliofanikisha kutandaza vipeperushi dar nzima? Hawa watu wanafananaje? ni kampuni iliyopewa tenda Kila unayemuuliza kuhusu haya mabango na watu walio bandika...
  14. seifutz

    JamiiForums Tanzania Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

    "Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo. Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu...
  15. Chris wood

    JamiiForums Tanzania Mrejesho, Baada ya kuokota kipochi cha mzungu kilichokuwa na pete

    Kama ambavyo nilivyokuwa nimeleta bandiko, weekend wakati nilikuwa nikizunguka huku na kule, nilipita mahali nikakaa wakati naondoka niliokota kipochi kidogo ambacho ndani nilikuta kunapete 3. Nilikuja kutaka ushauri humu ni jinsi gani na wapi ninaweza kuzipiga bei kwani zilikuwa zikionekana...
  16. Chris wood

    JamiiForums Tanzania Mzungu kasahau kipochi chenye pete. Hivi zinaweza kuwa na thamani gani?

    Weekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa juisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka. Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

    Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mzungu aliyegoma kurudi Ulaya ili amtunze mama yake mzazi

    Wakati watu hupenda kwenda Ulaya huyu mzungu mbelgiji hataki kwenda Ulaya kisa anatunza mama yake
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu ya Tanzania ipo kweli Pre Season na nyingine iko busy Kutambulisha jezi vibonzo zao katika jezi

    Kuna Watu kweli hamnazo kabisa yaani Wewe una Mechi ngumu mno ya CAF CL badala ya kujiandaa vyema uko busy Kutambulisha Jezi Vikaragosi zao na Mwali wao Mzungu Pori. Halafu baadae Mwanamume aliyejiandaa vyema kwa Mashindano yote yajayo kama Kawaida yake akibeba Vikombe vyote mtaanza kusema...
  20. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Magari ya mzungu yametuacha mbali Sana Sisi akina Toyota

    Nimeshangaa kuona jinsi Magari ya mzungu yakivyokuwa na utofauti na Magari yetu ya kijapan,Jana nilikuwa nasukuma ndinga BMW 320i kutoka banana Hadi Kariakoo hakika kuna utofauti Mkubwa Sana na rumion Yangu Hadi nilikuwa siamini jinsi hizi gari zilivyobarikiwa kuna nguvu, stability...
Back
Top Bottom