Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,397
- 3,487
Mzungu ni nani?
Kuna jamaa kanambia Mzungu ni mtu yoyote aliyezaliwa bara la Ulaya. Basi mimi nikamuuliza je Pogba ni mzungu kanibishia? Anadai Pigba ni mweusi hivyo hawezi kuwa Mzungu.
Nikamwambia jamaa amezaliwa Ulaya? Kwanini asiwe mzungu?
Basi tumebishana bila majibu, naombeni mnijuze, Mzungu ni mtu wa namna gani?