mzungu

Also known as muzungu, mlungu, muzungu, musungu or musongo, mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in predominantly Swahili speaking nations to refer to Caucasian people. The noun Mzungu or its variants are used in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (the word changed to "vozongo" in Malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Karma ndiyo inamtesa Okrah Simba SC na itamtesa mno hadi akamwombe Radhi Mzungu Dejan kwao aliko

    Okrah ndiyo kwa 99% alisababisha Mzungu Wetu Dejan asiwe na Furaha ndani ya Simba SC mpaka Kukereka na kufikia Kuchukua yale Maamuzi aliyoyachukua ya Kuondoka. Okrah huyu huyu ndiyo alikuwa akimtukana Mzungu wa Watu Dejan na Kubwa zaidi akiwashawishi Wachezaji wenzake Waswahili wamtenge...
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania yamtisha Mzungu, Globalist kaamua kuibadilisha!

    Dunia hii ukiona mtu mweusi anatembea kibabe na kujiamini basi ni aidha Black Amerikan au Mtanzania hayo ni maneno ya mgeni mmoja alieyeitembea Dunia ikiwemo Tanzania pia. Globalist kaogopa, katishwa na Tanzania, sisi ndiyo nchi pekee ambayo ilikuwa haipindiki kama mti wa mpingo, Elimu ya...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic kurejea kukipiga

    Mchezaji maarufu Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic ametangza rasmi kutua nchini kukipiga. Dejan hajaweka bayana kama ataendelea na Simba au atatua Yanga kuziba pengo la Faizal Fey Toto anayewaniwa na club ya Azam Fc
  4. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mzungu alimvyompotezea Mwarabu alipokuwa akimchimbia mkwara wa kitoto huko Australia

    Video hii ilipigwa huko Melbourne Australia. Kijana wa Kiarabu aliposhuka kwenye kibakuli (Baby Walker) na kuanza kumchimbia mkwara mbuzi Mzungu ambaye alisimama na kumpotezea kwa kuweka tu mikono mfukoni. Waarabu kwa mikwara bana. Sol de Mayo Dalmine
  5. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Naenda kuoa Mzungu, Miss Lucy

    Good morning! Washika dau daaah siwezi kuelezea furaha ilivyokuwa, ila yote kwa yote namshukuru Mungu kwa yote, kwa maisha yangu zaidi ya kuwa na mamilioni kwenye account ila kingine next month I will go to engage with beutiful woman I have seen in my life. Mchumba wangu anaitwa Miss Lucy...
  6. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Code alizonipa mzungu zimenisaidia kuona mwanga wa mafanikio yangu na familia yangu hapo baadaye

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza nianze kusema kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania waliozaliwa katika familia ya maisha ya kati, sio familia tajiri wala masikini. Pilika pilika za hapa na pale, zilinifanya nihamishie maisha yangu Kaburu ili kuweka mambo fulan sawa. Nikiwa Kaburu...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa Mo Dewji kama unapenda 'Kupromoti' Ndondi kwanini usingeanza kwa 'Kuwapiganisha' Okra Magic na Dejan Mzungu?

    Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez. Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor...
  8. Kinengunengu

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za Mzungu kuondoka Simba

    Nisiwe msemaji ila sikiliza Mahojiano yake na EFM
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona Kosa la Mzungu, ila najua ameondoshwa kutokana na Uswahili, Majungu na Uafrika Wetu

    Mchezaji wa Simba, Dejan Georgejevic kupitia akaunti yake ya Instagram amesema mkataba wake umevunjwa kuitumikia klabu hiyo. Na kama leo hii ( hasa CEO ) Barbara Gonzalez uliyemleta huyu Mzungu umeona hafai ni kwanini hapo mwanzo Mimi MINOCYCLINE na Yule mwana Jamiiforums Maarufu GENTAMICINE...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba punguzeni ubinafsi ,acheni kumtengenezea majungu Mzungu Dejan Georgijevic

    Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania We Must keep Africa Poor at all Cost. Amesikika Mzungu.

    No wonder why muamar Gaddafi was assassinated.. same as Magufuli.
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Clip Mzungu asemavyo kuhusu Afrika na Kodi. Mwigulu njoo uone

    Habari ndiyo hiyo Mwenye masikio na asikie. Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma
  13. music mimi

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwa na mpenzi Mzungu lakini sijui nampataje

    Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na Wazungu. Nahitaji msichana/mwanamke wa Kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate. Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa Oysterbay/Masaki lakini namna ya kuwaingia ni ishu, maana wapo busy sana na mambo yao pia ni wagumu...
  14. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mzungu hana rafiki, kapindua meza Kenya ipo siku atapindua meza Tanzania!

    Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu kapindua meza na Raila hatakiwi tena. Najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba...
  15. Shark

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Wa Simba S. C Acheni "Kumzururisha" Mzungu

    Hivi Karibuni Mchezaji Dejan alipofunga goli Mashabiki wengi wa Simba tulifurahi sana. Sababu ya kufurahi ni kua toka asajiliwe Mchezaji huyu hakua amefunga goli kwenye mechi yoyote ile ukiacha mazoezini labda. Wengi tulianza kuamini kua Mchezaji huyu "tumepigwa", wengine kufikia kusema aheri...
  16. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tuisila Kisinda is yellow and green

    Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022. Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mzungu ana nyota kali ya mvuto? Kwanini watanzania wengi huwanyenyekea na hujipendekeza kwao?

    Si mara moja wala mara mbili nimekuwa nikiiona hii hali kwenye sehemu tofauti. Unakuta mzungu akienda ofisi ya serikali anashughulikiwa ki V.I.P unakuta swala lake linahughulikiwa kwaumakini wa hali ya juu sana. Akipita mtaani watu anaopishana nao wanampa sana salamu na hata wale wa mbali...
  18. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Mzungu wa Simba tumepigwa na kitu kizito kichwani

    Binafsi sijaona kazi yake sijui Ni macho yangu? Nyie mnaonaje?
  19. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Shangwe la ‘Mlete Mzungu’ Lina Harufu ya Ubaguzi wa Rangi

    kibwagizo cha Mlete Mzungu kilichoasisiwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally alipokuwa akimtambulisha mchezaji wao mpya mgeni, Dejan Georgijević hapo Agosti 8, 2022, siku ya tamasha la klabu hiyo lililofanyika uwanja wa Benjamin William Mkapa, kimepata umaarufu...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

    Hivi ndivyo msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Simba kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mkapa, Agosti 20, 2022
Back
Top Bottom