Mkuu wa Kikundi cha Wagner Yevgeny Prigozhin, ametoa maoni yake juu ya mzizi wa matatizo nchini Niger

Zacht

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
1,009
2,197
"Nitajibu ni nini msingi wa mabadiliko ya mamlaka nchini Niger. Msingi(tatizo) ni uchumi. Population ya watu wa Niger imekuwa katika umaskini kwa muda mrefu.

Kwa mfano, kampuni ya Ufaransa iliyochimba uranium iliiuza sokoni kwa $218, huku ikilipa Niger $11 pekee . Unaweza kufanya kazi na wawekezaji kwa msingi wa 50-50 au 30-70 (%), lakini haiwezekani kuwarudishia wazawa wa nchi, ambao walizaliwa katika nchi hii, wanaoishi katika nchi hii, na wanaotarajia hilo. maliasili za nchi hii ni zao, na kwa mujibu wa Katiba, ni mali yao, ni 5% tu ya utajiri unaopokea.

Ili kuficha uhalifu huu wa kiuchumi, nchi ilikuwa imejaa idadi kubwa ya magaidi. Idadi hii kubwa ya magaidi, kinadharia, ingepaswa kudhibitiwa na idadi kubwa ya wanajeshi tofauti, wanaofadhiliwa na UN, Umoja wa Ulaya, Wamarekani, Waingereza, na wengine. Kwa sababu hiyo, wakazi wa Niger, ambao walipaswa kuwa huru na wenye furaha kutokana na fursa za kiuchumi nchini mwao, waliporwa, na ili kuwanyamazisha, waliwekwa katika hofu kwa miongo kadhaa.

Kuonyesha kwamba wezi na waporaji hawa wanahitajika katika eneo la jimbo, namaanisha nchi za Magharibi kama Ufaransa, USA, na kadhalika, umati wa askari walipelekwa huko ambao hawakufanya chochote isipokuwa kupokea bajeti kubwa ambazo pia zilifujwa katika ngazi mbalimbali. Ndio maana mabadiliko nchini Niger yalikuwa ya lazima.

Nguvu iliyokuwa katika muungano na Bazoum (rais aliyeondolewa madarakani) na wafuasi wake, ilifunika tu, kuruhusu muungano wa watu waliopora taifa kuwepo katika eneo la Niger. Ni hayo tu. Kwa hivyo, haya ni mapambano ya ukombozi, harakati za ukombozi wa uhuru wa nchi hii, na Mungu awape mafanikio."

=======================
 
"Without Africa, France will slide down into the rank of a third [world] power."

—Former French President Jacques Chirac, March 2008
Mhhh. Ufaransa ana ardhi nyingi anazomiliki( France Territories) kama ardhi yake au nchi yake nje ya Ufaransa, kuliko hizo African francocone au nchi zilizo huru kisiasa lakini zinaitegemea Ufaransa. Ufaransa haiwezi kufirisika kwa sababu ya Hizo nchi za Africa ila hizo nchi za Africa zitateseka kwa kumkosa Ufaransa. Africa haijiwezi na Watu wake ni watu wa Lawama. Hizo chini ni ardhi za Ufaransa inazomiliki katika bahari ya Hindi, Pacifiki na Attlantic, je Senegal au Ivory coast akimkataa Mfaransa, Mfaransa atafirisika?.
Screenshot_20230804-090625.jpg

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Mhhh. Ufaransa ana ardhi nyingi anazomiliki( France Territories) kama ardhi yake au nchi yake nje ya Ufaransa, kuliko hizo African francocone au nchi zilizo huru kisiasa lakini zinaitegemea Ufaransa. Ufaransa haiwezi kufirisika kwa sababu ya Hizo nchi za Africa ila hizo nchi za Africa zitateseka kwa kumkosa Ufaransa. Africa haijiwezi na Watu wake ni watu wa Lawama. Hizo chini ni ardhi za Ufaransa inazomiliki katika bahari ya Hindi, Pacifiki na Attlantic, je Senegal au Ivory coast akimkataa Mfaransa, Mfaransa atafirisika?.View attachment 2707833

Hizo territory anazozimiliki nje ulaya zina Km za mraba za kutosha?
 
Mbuzi we
 
Hizo territory anazozimiliki nje ulaya zina Km za mraba za kutosha?
Kuna baadhi zinazo, kuna nchi inaitwa French Guiyana ipo Bara la America Kusini imepakana na Brazil, Suriname, na Venezuela ni kubwa pia. Nchi za Ulaya sio kubwa kama Tanzania vile au Congo, lakini zina misuri ya Tekinolojia, Rasilimali watu ilioelimika na kujitambua, na Mpangilio bora wa Uchumi, ndio Maana wanazitawala kifikra nchi za Africa. Tatizo la Africa ni viongozi wake toka Uhuru walikosa kabisa utashi wa misimamo ya usawa, badala yake wakawekeza kwenye Umimi. Africa hivi leo (Tanzania) viongozi wamelisi haiba ya CCM kwanza, wengine watatuchelewesha, kiufupi mpaka Yesu anarudi Africa itakua hivihivi.

Wewe mgonjwa,unafikiri ufaransa anafanya hisani kwa hizo nchi za Africa!?..ananyonya,ndiyo maana anajiandaa kuivamia Niger,alikua kinara wa kumvamia Gaddafi na ndiye aliyetuma majasusi wa kwenda kumuua, Gaddafi alitaka kuwaondolea francophone utumwa wa kupelekwa gold reserve benki kuua ufaransa na fedha zao kuwa affiliated na France central bank
 
"Nitajibu ni nini msingi wa mabadiliko ya mamlaka nchini Niger. Msingi(tatizo) ni uchumi. Population ya watu wa Niger imekuwa katika umaskini kwa muda mrefu.

Kwa mfano, kampuni ya Ufaransa iliyochimba uranium iliiuza sokoni kwa $218, huku ikilipa Niger $11 pekee . Unaweza kufanya kazi na wawekezaji kwa msingi wa 50-50 au 30-70 (%), lakini haiwezekani kuwarudishia wazawa wa nchi, ambao walizaliwa katika nchi hii, wanaoishi katika nchi hii, na wanaotarajia hilo. maliasili za nchi hii ni zao, na kwa mujibu wa Katiba, ni mali yao, ni 5% tu ya utajiri unaopokea.

Ili kuficha uhalifu huu wa kiuchumi, nchi ilikuwa imejaa idadi kubwa ya magaidi. Idadi hii kubwa ya magaidi, kinadharia, ingepaswa kudhibitiwa na idadi kubwa ya wanajeshi tofauti, wanaofadhiliwa na UN, Umoja wa Ulaya, Wamarekani, Waingereza, na wengine. Kwa sababu hiyo, wakazi wa Niger, ambao walipaswa kuwa huru na wenye furaha kutokana na fursa za kiuchumi nchini mwao, waliporwa, na ili kuwanyamazisha, waliwekwa katika hofu kwa miongo kadhaa.

Kuonyesha kwamba wezi na waporaji hawa wanahitajika katika eneo la jimbo, namaanisha nchi za Magharibi kama Ufaransa, USA, na kadhalika, umati wa askari walipelekwa huko ambao hawakufanya chochote isipokuwa kupokea bajeti kubwa ambazo pia zilifujwa katika ngazi mbalimbali. Ndio maana mabadiliko nchini Niger yalikuwa ya lazima.

Nguvu iliyokuwa katika muungano na Bazoum (rais aliyeondolewa madarakani) na wafuasi wake, ilifunika tu, kuruhusu muungano wa watu waliopora taifa kuwepo katika eneo la Niger. Ni hayo tu. Kwa hivyo, haya ni mapambano ya ukombozi, harakati za ukombozi wa uhuru wa nchi hii, na Mungu awape mafanikio."

=======================
Yule mpiga punyeto wa kimataifa na mashoga hawawezi kuona hili sababu wameahidiwa watakuwa huru kusodomoana😠

Yani inatakiwa ifike mahali huku Afrika tukiona mbwa yeyote anayewaunga NATO mkono tumnyongelee mbali! Enzi ya mababu zetu watu kama hawa ndio walishirikiana na wakoloni katikati kuendeleza biashara ya utumwa, mauaji ya kikatili na uporaji wa rasilimali za Afrika.
 
Kuna baadhi zinazo, kuna nchi inaitwa French Guiyana ipo Bara la America Kusini imepakana na Brazil, Suriname, na Venezuela ni kubwa pia. Nchi za Ulaya sio kubwa kama Tanzania vile au Congo, lakini zina misuri ya Tekinolojia, Rasilimali watu ilioelimika na kujitambua, na Mpangilio bora wa Uchumi, ndio Maana wanazitawala kifikra nchi za Africa. Tatizo la Africa ni viongozi wake toka Uhuru walikosa kabisa utashi wa misimamo ya usawa, badala yake wakawekeza kwenye Umimi. Africa hivi leo (Tanzania) viongozi wamelisi haiba ya CCM kwanza, wengine watatuchelewesha, kiufupi mpaka Yesu anarudi Africa itakua hivihivi.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Kwamba Suriname na Venezuela ni territories za Ufaransa?
 
Mhhh. Ufaransa ana ardhi nyingi anazomiliki( France Territories) kama ardhi yake au nchi yake nje ya Ufaransa, kuliko hizo African francocone au nchi zilizo huru kisiasa lakini zinaitegemea Ufaransa. Ufaransa haiwezi kufirisika kwa sababu ya Hizo nchi za Africa ila hizo nchi za Africa zitateseka kwa kumkosa Ufaransa. Africa haijiwezi na Watu wake ni watu wa Lawama. Hizo chini ni ardhi za Ufaransa inazomiliki katika bahari ya Hindi, Pacifiki na Attlantic, je Senegal au Ivory coast akimkataa Mfaransa, Mfaransa atafirisika?.View attachment 2707833

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Na wewe unajiona umeongea pointi kumbe upumbavu mtupu!
 
Wewe mgonjwa,unafikiri ufaransa anafanya hisani kwa hizo nchi za Africa!?..ananyonya,ndiyo maana anajiandaa kuivamia Niger,alikua kinara wa kumvamia Gaddafi na ndiye aliyetuma majasusi wa kwenda kumuua, Gaddafi alitaka kuwaondolea francophone utumwa wa kupelekwa gold reserve benki kuua ufaransa na fedha zao kuwa affiliated na France central bank
Sasa zikitoka kwa Mfaransa, then Mrusi nae ataenda kunyonya?. Au wanataka kubadili Mkoloni? Vipi Mali,na Bukina Faso nazo hari zao kiuchumi si pia mbaya boss. Tukitaka kuendelea tusishawishiwe na Urusi, US, France au China bali tuwe sisi na Tekinolojia yetu tu.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Mhhh. Ufaransa ana ardhi nyingi anazomiliki( France Territories) kama ardhi yake au nchi yake nje ya Ufaransa, kuliko hizo African francocone au nchi zilizo huru kisiasa lakini zinaitegemea Ufaransa. Ufaransa haiwezi kufirisika kwa sababu ya Hizo nchi za Africa ila hizo nchi za Africa zitateseka kwa kumkosa Ufaransa. Africa haijiwezi na Watu wake ni watu wa Lawama. Hizo chini ni ardhi za Ufaransa inazomiliki katika bahari ya Hindi, Pacifiki na Attlantic, je Senegal au Ivory coast akimkataa Mfaransa, Mfaransa atafirisika?.View attachment 2707833

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Cheki huyu mjinga mmoja ambaye anaamini bila misaada ya nguruwe wa Ulaya , waafrika hawawezi kujitegemea. Hizi fikra za utegemezi kama hujui zinadumaza ubongo na kudhoofisha akili yako.
 
Sasa zikitoka kwa Mfaransa, then Mrusi nae ataenda kunyonya?. Au wanataka kubadili Mkoloni? Vipi Mali,na Bukina Faso nazo hari zao kiuchumi si pia mbaya boss. Tukitaka kuendelea tusishawishiwe na Urusi, US, France au China bali tuwe sisi na Tekinolojia yetu tu.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Acha kuwaza kwa udumavu, kwani umeambiwa zikitoka kwa mfaransa lazima ziende kwa Urusi
 
Back
Top Bottom