Je, mzizi mmoja unaweza kustawisha mti?

Je, mzizi mmoja unaweza kustawisha mti?

tamsana

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
3,842
Reaction score
8,266
Screenshot_20220609-140158_Twitter.jpg
 

Oops ​

Yaani Ccm Pekee Hautastawi Ndiyo Maana Wale Wabunge 19 Wenye Makandokando Bado Wanawashikilia Mno Bila ​

Kujari Sheria, Taratibu Na Kanuni Zinakiukwa Hadharani ​




Tunabiwa Mihimili Huwa Haiingiliani Kila Mmoja Unaamua Yake Kwa Kutokuingiliwa
Ajabu , Bunge Linangoja Court Itoe Hukumu Ya Hao 19

KWA Utaratibu Ilitakiwa Chap Chap
 
Back
Top Bottom