Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

MimiNiMakini

Member
Jun 19, 2022
7
20
Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana.

Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na Sherehe za Yanga.

Je, Unakubaliana kwanza na hilo kwamba Tukio la Harmo na Kajala limefunika Tukio la Yanga? Je, kati ya Bongo Fleva na Mpira wa Kitanzania kipi KINAFUATILIWA sana hapa Nchini?

Binafsi naona kila kitu kina watu wake maana ukianza na Muziki, Wasanii wengi wanafollowers wa kutosha katika mitandao ya kijamii kuliko Wachezaji wa Mpira.

Pia tunaona Wasanii wanapata madeal mengi ya Ubalozi kuliko Wanachezaji hii inaonesha Muziki unafatiliwa sana. Lakini pia tukumbuke kwamba Watangazaji na Wachambuzi wa michezo wanawafuasi wengi sana kuliko Watangazaji wa Burudani (Muziki)

Hii inaumiza kichwa sana, Dondosha Comment yako, Unahisi kati ya muziki na Mpira wa Miguu hapa Tanzania Kipi kinafuatiliwa sana.
 
Uzi bila picha haunogi..
Screenshot_20220627-041206.jpg
 
Vyote vinanafasi yake ila Mziki ndo unaongoza kwakua idadi kubwa unashabikiwa na wote KE na ME na Watoto tofauti na mpira ambao asilimia kubwa ni Wanaume ndo mashabiki......Aidha suala la Followers linachangiwa kwakua wachezaji sio watu wa drama na kiki kama wasanii mara kaonesha gari jipya,Nyumba,,Demu n.k Wachezaji hawaoneshi sana izo vitu

Lakini pia Mpira wachezaji wanatoka na kuingia kila Leo mfano Luis miquison,TK master ni wachezaji wazuri ila ni ngumu kuweka EMPIRE mtandaoni kwa nchi husika coz nature ya mpira ni kuhama leo upo nchi hii..kesho utapelekwa nchi nyngne inayoongea lugha nyngne So ata makuzi ya Acc yanakua Tabu

Lakini vyote ni burudani na Vyote vinapendwa ila MPIRA kidunia ndo unaongoza na kama unaangalia Followers basi binadamu mwenye followers wengi IG ni mcheza mpira na ile Top 10 ya wenye followers wengi wasanii ni wachache
 
Yani mitandao ilsheheni picha za hamonaiza na kajula. Inshort Yanga walijiripoti wenyewe
 
Music is the world language.

Mpira hasa wanaume..wanawake wachache sana...hata wanaume sio wote.

Ila muziki hata mtoto asiyejielewa ukimuwekea muziki lazima afurahi na kuchangamka.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kitu cha kwanza kujua ni kuwa muziki sio mchezo lakini soka na muziki vyote ni burudani.
So swali ni burudani ipi inayopendwa zaidi?
Ikiweka hisia pembeni na kuzungumza ukweli.
Kiasili muziki unawaufuasi usio wa hiali. ukiwa na maana gani, ni kwamba hakuna binadam ambaye asikilizi mziki mziki hayupo.
Tuchukulie mfano Tanzania.
Vijana watasikiliza amapiano
Wazee watasikiliza zilipendwa
Walokole watasikiliza zao za dini
Waislam watasikiliza qaswida
Watoto wadogo wataimba na kucheza ukuti ukuti n.k
Hata wachezaji wenyewe wa soka wanasikiliza muziki wakiingia uwanjani wanakuaga na Heasphones
Umo sinaakika kama uwa wanamsikiliza BARAKA MPEJA au Late. KASHASHA bali masongi

Upanda wa soka it is more logic kuwa nimpaka ufikie umri fulani ndio uanze kufuatilia soka.

Muziki ni asili yetu.
 
Asante mkuu kwa haya madini ulivyo yapanga hapa.
 
Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana.

Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na Sherehe za Yanga.

Je, Unakubaliana kwanza na hilo kwamba Tukio la Harmo na Kajala limefunika Tukio la Yanga? Je, kati ya Bongo Fleva na Mpira wa Kitanzania kipi KINAFUATILIWA sana hapa Nchini?

Binafsi naona kila kitu kina watu wake maana ukianza na Muziki, Wasanii wengi wanafollowers wa kutosha katika mitandao ya kijamii kuliko Wachezaji wa Mpira.

Pia tunaona Wasanii wanapata madeal mengi ya Ubalozi kuliko Wanachezaji hii inaonesha Muziki unafatiliwa sana. Lakini pia tukumbuke kwamba Watangazaji na Wachambuzi wa michezo wanawafuasi wengi sana kuliko Watangazaji wa Burudani (Muziki)

Hii inaumiza kichwa sana, Dondosha Comment yako, Unahisi kati ya muziki na Mpira wa Miguu hapa Tanzania Kipi kinafuatiliwa sana.
Mkuu mziki unafwatilia zaidi kuliko kitu chochote duniani, fahamu kuwa hakuna binadamu asiyependa mziki ila tunatofautiana aina ya music ukiangalia streaming za music kwa mwezi ndio utapata jibu
 
Kitu cha kwanza kujua ni kuwa muziki sio mchezo lakini soka na muziki vyote ni burudani.
So swali ni burudani ipi inayopendwa zaidi?
Ikiweka hisia pembeni na kuzungumza ukweli.
Kiasili muziki unawaufuasi usio wa hiali. ukiwa na maana gani, ni kwamba hakuna binadam ambaye asikilizi mziki mziki hayupo.
Tuchukulie mfano Tanzania.
Vijana watasikiliza amapiano
Wazee watasikiliza zilipendwa
Walokole watasikiliza zao za dini
Waislam watasikiliza qaswida
Watoto wadogo wataimba na kucheza ukuti ukuti n.k
Hata wachezaji wenyewe wa soka wanasikiliza muziki wakiingia uwanjani wanakuaga na Heasphones
Umo sinaakika kama uwa wanamsikiliza BARAKA MPEJA au Late. KASHASHA bali masongi

Upanda wa soka it is more logic kuwa nimpaka ufikie umri fulani ndio uanze kufuatilia soka.

Muziki ni asili yetu.
Umemalizaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom