mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Chai Maharage enzi za Mzee Ruksa

  2. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Anayoyasema Jenerali Ulimwengu yalitakiwa yasemwe na Mzee Mwinyi (Rais Mstaafu) au Kikwete

    Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo. Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai usijilinganishe na Jenerali Ulimwengu

    Naona spika anapenda kijilinganisha na watu waliomzidi sana. Kwanza ilikuwa Prof Assad sasa Mzee Ulimwengu.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile

    Kutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile. Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

    GAUDENSIA KABAKA MWENYEKITI WA UWT? Mwenyekiti wa UWT Gaudensia Kabaka ndiye aliyehusika kuwafukuza Waislam 11 Chuo Kikuu cha Dodoma na kusimamisha ujenzi wa msikiti hapo chuoni ambao ujenzi wake ulishaidhinishwa. Leo yupo katika sherehe za kumuenzi Bi. Titi Mohamed. Huyu ndiye kiongozi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Hivi wakati unaweka ndani Masheikh wetu ulikuwa unafikiria nini?

    Mzee Jakaya! Shikamoo mzee, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Naomba nikupe taarifa tu kuwa jela kuna Masheikh zaidi ya 150 , na wengi wao waliwekwa ndani kipindi cha utawala wako. Hivi mzee ulikuwa unafikiria nini kwa mambo haya? Ninafahamu kuwa wewe personally siyo mtu...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba - Msambaa, Mlutheri na Muislam

  8. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi afunguka kuhusu Mbio za Mwenge, Rais Samia anaendeleza walichoasisi

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Watanzania katika kuzima Mwenge wa Uhuru pamoja na maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 22 ya Kifo cha Mwalimu Julius Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana, halfa zilizofanyika kwa pamoja mkoani Geita. Mbio za Mwenge wa Uhuru ni utaratibu ambao umekuwepo nchini...
  9. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Rais Mstaafu Mzee Jakaya Mrisho Kikwete

    Ni tarehe 07.10.1950 ndiyo siku ambayo Mzee Jakaya Kikwete alizaliwa! Mzee Kikwete ukiwana kama binadamu kama wengine huwezi kosa mapungufu,lakini Mimi hua nasema wewe ni mmoja wa wanasiasa waliokomaa! Kipindi cha uongozi wako, kulikuwa na uhuru sana, tofauti kabisa na awamu ya tano, watu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuona Mzee Rugemalila akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi katika mojawapo ya taasisi zetu

    Kama sheria inaruhusu, na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini. Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi, bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana. Hivi ndivyo wenzetu...
  11. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania RC Ally Happi usirudie tena utovu wa nidhamu, ulitaka Mzee Makamba atwangwe bure

    Kama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu bure pale walipotoa maoni yao. Mmojawapo ni huyu RC wa Mkoa wa Mara ndugu Alli Happi kipindi cha...
  12. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mzee Lugemalira Mungu anakulinda!

    Hii sakata la Mzee Lugemalira limenifanya nifikiri sana juu ya uwezo mkubwa wa Mungu kuweka level playing field. Mze Lugemalira baada ya kukaa ndani miaka mitano, ametolewa bila masharti yoyote. Kukaa gerzani ni mateso, matesoyaliyo andaliwa na binadamu. Cha ajabu wengi wa waliokuwa madarakani...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Video ya mzee inayotrend amebeba mfuko na amevaa kanzu amepotelea hewani kwenye kontena Kenya ni ya kweli?

    Kuna video inayostua Sana inamuonyesha mzee akiwa sokoni anatembea huku kamera ya mwanahabari ikirekodi taarifa nyingine isiyohusiana na huyo mzee Ila Cha kushtusha mzee anapotea Kama upepo ni video inayotisha. Mwenye nayo aiweke namimi najaribu kuiweka.
  14. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa arudi kuwa Waziri wa Ujenzi, tutegemee nini katika sekta hii?

    Ama kweli dunia tambara bovu. Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji. Mbarawa ni kama mtu wa kisirani na mara nyingi hana focused objectives. Tutegemee nini sasa sekta hii ya ujenzi maana huku mwishoni aliwaita...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wananchi bado tunaomba uchunguzi mkali mradi wa stiglers/SGR, huko ndiko kuna vikampuni vya mzee na vifaranga wake waliopeana tenda

    Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike! Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili Mh. Samia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika na CHADEMA yako msipousikiliza Ushauri wa Nyerere's Think Tank Mzee Butiku hamtofanikiwa tena na Mabalaa Kuwaandama

    Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia. Nami Mightier nakuomba mno John Mnyika na CHADEMA wako wote ufanyieni Kazi huo Ushauri Kuntu uliopewa leo na Mzee Butiku kwani huyo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Upako: Kwa akili hizi za siasa za chuki, kujilimbikizia mali na kutukana mabeberu hamtafika mbali

    Haya yamesesmwa na Mzeee wa Upako Mchungaji Antony Lusekelo ktk moja ya video clip inayoenea mitandap ya kijamii kwa kasi. Amesema siasa za chuki, uhasama, kujilimbikizia madaraka na mali ni za kijinga na zimepitwa na wakati. Sikiliza mwenyewe hapa. Jiwe limetupwa Gizani
  18. K

    JamiiForums Tanzania Diamond muombe msamaha mzee Abdul la sivyo huu ndo mwisho wako

    Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond. jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mzee Zahiri Ally Zoro Akiwa Na Watoto Wake

    Ni kitambo sana kimepita Zahiri Ally Akiwa Na wanae Banana & Maunda Great memories
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nilivyokutana na Mzee Sued Kagasheki katika mazungumzo na Dossa Aziz 1980s

    NILIVYOKUTANA NA MZEE SUED KAGASHEKI KATIKA MAZUNGUMZO NA DOSSA AZIZ 1980s Mmoja katika marafiki zangu ameniletea picha kadhaa za wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika Kanda ya Ziwa, Bukoba. Moja ya picha hizi ni picha ya Sued Kagasheki mmoja wa viongozi wa TAA na muasisi wa TANU Kanda ya...
Back
Top Bottom