mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. Zipo wapi hotuba za mzee Mwinyi akiwa Rais?

    Nimejitahidi kutafuta katika vyanzo mbalimbali sijazipata. Nimesikiliza radio na kuangalia TV mbalimbali katika kipindi hiki cha maombolezo yake lakini pia sijabahatika kuona hotuba yake akiwa Rais. Je hotuba zake zipo wapi? Mbona za wengine zipo?
  2. Kwa kweli mzee mwinyi allah akupe tahafif. Ulifanya waalimu kwa upande kwa zanzibar wanakipwa transport allowance

    Ni rais pekee aliyehakikisha mwalimu analipwa stahiki hii ambayo imepuuzwa upande wa bara. Katika kada ambayo itaendelea kuwafanya viongozi wa bara waende na mzigo wa dhambi ni kuidharau kada ya ualimu. Ni kikwete pekee aliyebaki amwambie Mama kizimkazi asifanye kosa la kudharau waalimu...
  3. S

    Abdul Mwinyi: Hayati Mzee Mwinyi hajawahi kuugua maisha yake yote, isipokuwa miaka 2 iliyopita

    Akitoa salaam za familia, mtoto wa mzee Ali Hassan Mwinyi, Abdul Mwinyi amesema baba yao hajawahi kuugua katika kipindi chote cha uhai wake. Kaanza kuugua kwa mara ya kwanza miaka 2 iliyopita. Hakika mzee Mwinyi ni somo zuuri. Mungu amrehemu.
  4. Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi . Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe ...
  5. P

    Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

    Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa...
  6. Hivi Michael Jackson alikuja Tanzania na kugoma kushuka uwanja wa ndege na kusalimiana na Mzee Mwinyi kisa Tanzania hewa yake ni chafu?

    Wazee leo imebidi niulize, Maana naona watoto wa miaka ya 90 kama tulikua tunapigwa fiksi mno na wazazi au wakubwa wetu.... Nimekua miaka ya 2000 na hivi nikiamini stori niliyoikuta kuwa mwanzoni mwa miaka ya 1990 sijui 1992 alikujaga bana Wako Jack (MJ) Gwiji Michael Jackson hapa Ti-ziii Eti...
  7. Ujumbe wa Sugu kwenye Msiba wa Mzee Mwinyi huu hapa

    Sugu akizungumza kwenye hafla ya kuuaga mwili wa Mzee Mwinyi kwenye Uwanja wa Uhuru (shamba la Bibi) , kabla ya kupelekwa kwao Zanzibar kwa mazishi , amemmwagia sifa Mwinyi kwamba ndiye aliyesaidia kukomesha vijana kutoswa baharini kwa kuzamia meli walipotaka kwenda Ulaya. Kwamba Baada ya...
  8. Suala la mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar wala lisifanywe la kisiasa, pitieni hapa msome muelewe sababu

    Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu. Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake. Wengi...
  9. Humility imembeba mzee Mwinyi, alisema yeye ni kichuguu!!

    Kati ya tabia ambazo nitamkumbuka sana mzee Ally Hassan Mwinyi, ni humility, yaani uvumilivu. Moyo wa uvumilivu umembeba sana na kumvusha katika mazingira ya utatanishi. -humility ilimfanya ajiuuzuly uwazi wa mambo ya ndani kulipotokea mtafaruku wa watendaji kuua watu waliotuhumiwa ushirikina...
  10. P

    Kuagwa kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Machi 1, 2024

    Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
  11. Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  12. CHADEMA yaomboleza Msiba wa Mzee Mwinyi

    Taarifa yao hii hapa
  13. Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  14. TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  15. Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

    Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe anatakiwa kusafiri nanani! Stress za maandamano kukosa mvuto na wafuasi usiziamishie kwa JK wetu ! Hapo...
  16. S

    Mtu anayeweza kutoa ushauri mzuri kwa Watanzania kuhusu mtindo wa maisha (lifestlye) ni Rais Mstaafu Mzee Ali Mwinyi

    Mungu amemjalia maisha marefu mzee wetu huyu, mpaka sasa anaikaribia miaka 100. Pamoja na kuwa tunasema ni kwa neema na kudra za mwenyezi Mungu lakini nina uhakika kuna mambo huwa anaepuka kuyafanya ama huyafanya kwa kiasi mpaka kuufikia umri huu. Basi ni muda umefika mzee wetu aulizwe ili...
  17. B

    Rais Mwinyi atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mzee Masauni Yusuf Masauni

    23 February 2024 SALAMU ZA RAMBIRAMBI Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mbunge wz jimbo la Kikwajuni Mh. Hamad Yusuf Masauni kilichotokea leo katika...
  18. Penzi la Mzee Ngowi na mkewe ni funzo kubwa kwetu

    Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma. Siku moja walikuwa wanasherehekea miaka 40 ya ndoa yao. Hivyo waliamua kutembelea shule yao waliposomea...
  19. Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

    Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua. Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu. Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti...
  20. Msibani imesemwa Hayati Lowassa alikuwemo JWTZ hadi Ukapteni na akashiriki vita vya Uganda. 2015 mzee Makamba alisema Lowassa hakwenda jeshini

    https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8 Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu. Bila shaka protokali ya msiba haikukosa kuwa na kasehemu ka kueleza wasifu wa mzee huyu ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…