mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, wajuwa Iran pamoja na vitisho vyote hawezi kuigusa Israel na kama akiwagusa huwo ndiyo mwisho wao

    Iko hivi ktk maswala ya kivita sio ukubwa wa nchi au wingi wa watu ulio nao ila niuwezo wa kivita pamoja na ujasusi. Ktk kile kilicho onekana sio kitu cha kawaida Israel walishambulia sehem ya ubalozi wa Iran ktk Nchi ya Syrian. Naomba niwakumbushe ni sehem ya ubalozi sio ubalozi wote na jinsi...
  2. JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka gani? Kwanini?

    Kuna watu wamepoteza ari ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. Wapo wanaosema waliacha kwa kuwa hawana imani kama kura wanazipiga ndizo zinaamua mshindi, wanaona kama uchaguzi ni kiini macho tu hivyo wamekata tamaa ya kushiriki. Wengine wakidai wanajichosha...
  3. JamiiForums Tanzania Mara yako ya Mwisho kumaliza dozi ulipougua ni lini?

    Je, unazingatia 'dozi' unapoandikiwa na Daktari? 'Kuzingatia dozi' hujumuisha.... Kutumia dawa kwa Kipimo sahihi Kumeza/Kunywa Dawa kwa wakati Kumaliza dozi kamili Kutotumia dawa nyingine kujitibu Kuzingatia dozi ya dawa kunajumuisha kufuata maelekezo ya daktari au maelekezo yaliyomo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania KWELI Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua au matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina unaacha kudondosha

    Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kipi kigumu kwenye kufuta mchezo kwa maamuzi mabovu ya Refa? Madhara yake ni yapi kiasi cha mtu mmoja kuwa na maamuzi ya mwisho yasiyoweza kubadilika?

    Hili ndio swali ninalijiuliza huku nikizingatia uwekezaji wa gharama kubwa unaofanywa na vilabu plus wachezaji kuvuja jasho halafu kunakuwa na sheria/kanuni inayompa mtu mmoja anaeitwa mwamuzi kuwa na maamuzi ya mwisho na kibaya zaidi hayabadiliki hata ikithibika alitoa maamuzi yasiyo sahihi...
  6. JamiiForums Tanzania Israel yafunga kwa muda balozi zake katika nchi 28 kufuatia maandamano ya Siku ya Quds

    Wanaukumbi. ISRAEL ON HIGH ALERT - YAFUNGA MABALOZI 28 Kujibu vitisho vilivyoongezeka kutoka kwa Iran baada ya IDF kuwaua maafisa wakuu nchini Syria, balozi 28 za Israel na balozi ndogo duniani zimeripotiwa kufungwa kwa muda - zikiwemo Azerbaijan, Bahrain, Misri, Jordan, Morocco, na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara eneo la Kongowe Mwisho - Vikindu haipitiki kwa siku 3 baada ya lori kuziba njia kutokana na ubovu wa barabara

    Mimi ni mkazi wa Mlamleni kata Tambani Wilaya Mkuranga. Tuna shida ya barabara hadi sasa ni siku ya tatu barabara haipitiki kutokana na ubovu wa barabara, gari kubwa la mzigo semitrela limeziba njia, hakuna gari wala bajaj inayoweza kupita, hata pikipiki zinapita kwa tabu sana kutokana na eneo...
  8. JamiiForums Tanzania Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024)

    Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024) 🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi. 🔸ANAEJUA HESABU. 🔹Umri miaka 25 au zaidi. 🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani. MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE...
  9. JamiiForums Tanzania Irani ikishambulia ndani ya nchi ya Israel itakua mwisho wa serikali ya kiislam ya Iran

    Kumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi….. Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran. Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi sana na ilishajipanga hata kupigana vita na iran bila hata ya US. Kwasababu israel haikuweza...
  10. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?
  11. JamiiForums Tanzania Mwisho wa ubabe wa Sanchez wa Madrid 1989/1990…shukran zikaenda kwa Baresi na Costacurta

    KINGINE TOKA KWA GANG CHOMBA… Nyota wa zamani wa Real Madrid Hugo Sanchez aliifungia timu hio magoli 38 katika msimu wa miaka ya 1989/1990. Sasa ni hivi, katika magoli yoote hayo ambayo mwamba alitupia kambani alifunga kwa FIRST TOUCH. Lakini umwamba wake msimu huo ulikoma Siku walipotua...
  12. JamiiForums Tanzania Siku ya Afya ya Kinywa Duniani: Ni lini mara yako ya Mwisho kufanya Uchunguzi wa Kinywa?

    Kufanya Uchunguzi wa Afya ya Kinywa: Umuhimu na Mara Ngapi Unapaswa Kufanya Leo, tunapoadhimisha Siku ya Afya ya Kinywa Duniani, ni muhimu kutambua umuhimu wa kufanya uchunguzi wa afya ya kinywa mara kwa mara. Afya ya kinywa ni sehemu muhimu ya afya yetu kwa ujumla, na uchunguzi wa mara kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Game of Thrones umenivunja moyo sana. Kwanini iishe hivi jamani?

    Kwa wale ambao you've been watching this show I don't know why the end broke my heart so bad inshort nimejisikia vibaya sana🥺😭 why the show had to end like that, why lakini🥺🥺🥺🥺🥺
  14. S

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

    “MAGUFULI ALICHELEWA KUWA RAIS WETU.” Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5 ilituonesha rangi za udikteta. Ingawa rangi hiyo haikufika kwa mtu mmoja mmoja, wapo walioguswa Bado...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo ya CDF mstaafu ni Kwamba Magufuli alipata Msamaha na Ondoleo la Dhambi zake zote mbele ya Kardinali Pengo!

    Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa...
  16. JamiiForums Tanzania Historia ya Y2K na Msisimko wa Mwisho wa Dunia wa Mwaka 2000

    Wakati umefika mwaka 1999, Wanasayansi wakaibuka na kudai kwamba mwaka 2000 ungekuwa mwisho wa dunia. Baadhi ya wachungaji wakaungana na wanasayansi hao na kuendelea kusema kwamba mwaka huo Yesu angerudi kwa mara ya pili. Dunia nzima ilikuwa na wasiwasi, kila mmoja aliona kabisa alikuwa akienda...
  17. JamiiForums Tanzania Leo ndio mwisho wa matumizi ya 3D, msako kuanza kesho

    Leo alhamisi ndiyo mwisho wa matumizi ya namba za magari zenye uwezo wa 3D na kuanzia kesho ijumaa Jeshi la polisi Tanzania limetangaza kuanza msako mkali kwa wote ambao wameshindwa kuzitoa namba hizo za 3D kwenye magari yao. Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani awali kilitoa muda wa...
  18. JamiiForums Tanzania African soccer zone: hizi ni timu zitakazoshinda CAFCL Simba ya mwisho

    Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.👀🏆 Mamelodi.,........24% Al ahly........20% esperence ....14% Petro atletico 12% Young Africans .....10 % Tp mazembe.......6% Simba ........6% Source...... African soccer zone 😂😂 #TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
  19. JamiiForums Tanzania Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

    Ni vitu gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa na vipi vya kumfanyia? Which is the line of demarcation?
  20. JamiiForums Tanzania Mobutu ndiye alikuwa Rais mwenye nguvu wa mwisho wa DRC (CONGO)

    Habari Ukifuatilia Historia ya DRC utaona inaongozwa na viongozi wengi wasio na uwezo wa kufanya CONGO kua nchi yenye nguvu kiuchumi, Kisiasa, Kiintelligencia na kijamii nchi ya CONGO imekua shamba la bibi yenye serikali zilizofeli muda wote. Mpaka sasa kuna makundi 120 yanatawala sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…