Mangi wa Rombo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 172
- 104
Habari!
Napenda kuchukua nafasi hii kuwasilisha kilio cha Watanzania wanoishi na kutumia barabara ya kuanzia madale mwisho kwenda mbopo had mabwepande.
Hali ya barabara hii ni mbaya, ukijumlisha na mvua zinazoendelea! Barabara zimekatika na kutenganishwa na maji, tunalipia kubebwa migongoni kuvushwa.
Tumeshaomba sana na kuwasiliana na mbunge wa kawe bila mafanikio! Manispaa ya Kinondoni, TARURA tusaidieni hata makaravati tu watoto wetu waende shule.
Pia soma - Dar: Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbovu