Dalili Siku Za Mwisho

Msolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
2,350
3,011
Happy Sunday wana JF.

‭‭2 Timotheo‬ ‭3:1‭-‬7‬ ‭SUV‬‬

[1] Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.

[2] Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi,

[3] wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema,

[4] wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu;

[5] wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.

[6] Kwa maana katika hao wamo wale wajiingizao katika nyumba za watu, na kuchukua mateka wanawake wajinga wenye mizigo ya dhambi, waliochukuliwa na tamaa za namna nyingi;

[7] wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.

-----------------------------------
‭‭2 Timothy‬ ‭3:2‭-‬5‬ ‭AMP‬‬

[2] For people will be lovers of self [narcissistic, self-focused],

lovers of money [impelled by greed],

boastful, arrogant, revilers,

disobedient to parents, ungrateful, unholy and profane,

[3] [and they will be] unloving [devoid of natural human affection, calloused and inhumane],

irreconcilable, malicious gossips, devoid of self-control [intemperate, immoral], brutal, haters of good,

[4] traitors, reckless, conceited, lovers of [sensual] pleasure rather than lovers of God,

[5] holding to a form of [outward] godliness (religion), although they have denied its power [for their conduct nullifies their claim of faith]. Avoid such people and keep far away from them.
 
Ukweli ni kwamba hakuna ajuaye siku ya mwisho ni lini, miaka 200 ijayo au 20,000 au milioni 100, hakuna!
 
Back
Top Bottom