mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  2. Ruyama

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kutatua matatizo bila kumshirikisha mtu?

    Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha. Yaani nina mawazo mno sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani...
  3. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine katumiwa email na FUNDSFORAFRICA

    Wakuuu Mambo vipi tena kwenu mimi Mtumishi wa Mungu, Naulizia hivi nani Mwingine katumiwa hii email ya fundsforafrica waliiiona Tangazo Mimi nimetumiwa lakini siielewi elewi Kwenye zile nafasi za procurement na field officer
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    Habarini ndugu zangu polen na majukumu ya kila siku, nimekuja mbele yenu kama kijana mwenye shida ya kiushauri na mawazo ili nipanue akili na niwe na uwezo mkubwa wa kuchukus maamuzi sahihi kutokana na mawazo yenu na mawazo yangu kwa pamoja. Mimi ni kijana na nipo kakika mahusiano ya na...
Back
Top Bottom