mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nimepata mafua makali, homa na udhaifu wa mwili - je, ni corona?

    Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta. Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja. Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na kahoma kaanza na kukohoa kohoa na mbavu kubana. Hili ni balaa. Nimekula antibiotics na kujifukiza na...
  2. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Linda roho na mwili wako, ili ufanikiwe

    ACHENI KUGONGAGONGA HOVYO!!! Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa. Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi, unafanya hivi na vile lakini hakuna kitu. Umekuwa na ndoto zako za muda mrefu, unaamini zitakupa sana...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maiti yazua taharuki Hospitali, mwili wazikwa mara mbili

    Ilikuwa Mei 18 mwaka huu siku ambayo ilizuka taharuki na sintofahamu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro baada ya mwili wa mzee Melkiori Ndambale (85) uliokuwa umehifadhiwa katika hospitali hiyo kutoonekana kwenye chumba cha kuhifadhia maiti. Siku hiyo ndugu wa marehemu huyo mzee...
  4. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Nimrod Mkono kuwasili nchini May 27

    Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Butiama Vijijini, Nimrod Mkono aliyefariki April 18 unatarajiwa kuwasili nchini May 27. Mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao Kigori Buswege Wilaya ya Butiama mkoani Mara.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale Wazee wa 'Kimwela' mlioomba mpewe Mwili wa Membe je, baada ya Kuukagua mmegundua nini?

    Halafu mbona Kipindi chote alichokuwa Hai hamkuwahi kutuambia Watanzania kuwa Yeye (Marehemu Membe) ni Chief (Mtemi) wa Kabila la Wamwela? GENTAMYCINE nasubiri majibu yenu juu ya kile mlichokikuta baada ya Kuomba sana mkabidhiwe huo Mwili wake. Imani za Kishirikina zitawamalizeni.
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mjue Rais wa zamani wa Haiti, François "Papa Doc" Duvalier aliyewahi kuwa mchawi kuliko Marais wote Duniani

    KUMBUKUMBU: JE, WAJUA? KWAMBA HAITI NDILO TAIFA LINALOSEMEKANA KUONGOZA KWA UCHAWI DUNIANI? Rais wa zamani wa Haiti, Dikteta François "Papa Doc" Duvalier, aliyechaguliwa na wananchi wa taifa hilo kuwa rais wa 32 wa Jamhuri ya Haiti, kuanzia mwaka 1957 hadi mwaka 1971, anasemekana kuwa mchawi...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Askari TANAPA wadaiwa kuwavua nguo wanawake wafugaji na kuwababua kwa mapanga ya moto mwili mzima

    Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha wengine kuwa mahututi, pia wamefanya ukatili wa kuwavua nguo wanawake hadi uchi wa mnyama, kisha...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Vipimo "DNA" Mtoto "Aliyefufuka", kuokotwa Porini Vyaibua Mapya

    Vipimo vya vinasaba (DNA) vya mwili wa mtoto Mabirika Wilson (8), aliyefariki dunia Aprili 16 mwaka huu wilayani Magu, pamoja vya wazazi wake, vimeonesha ni mtoto wao. Uchunguzi huo unapingana na madai ya awali kwamba mtoto huyo amekutwa akiwa hai katika wilaya nyingine ya Kwimba mkoani hapo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mwili wote kufa ganzi plus kichefuchefu,husababishwa na nini?

    Mwili wote kufa ganzi plus kichefuchefu,husababishwa na nini?
  10. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24. 2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwili wa bondia Ibrahim Najim aliyefariki baada ya kuanguka ulingoni, kuzikwa Kyela

    Mwili wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Ibrahim Najim unatarajiwa kuzikwa wilayani Kyela Mkoani Mbeya. Najum alianguka ulingoni jumapili iliyopita baada ya kumalizika kwa pambano lake la raundi nne dhidi ya bondia Laurent Segu wa Dodoma na kuwahishwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma...
  12. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Legend waliochorwa kwenye mwili wa Joshua King, jamaa anayekipiga pale Uturuki

    We unadhani huyu jamaa atakuwa ni mpenzi wa falsafa za namna gani? Aa
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Polisi yatoa taarifa rasmi juu ya tukio la mwili wa mtu kuokotwa, yasema amenyogwa na waya

  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwili wa mtu wakutwa ukielea kwenye maji, siku chache tangu Mwenyekiti wa CCM aliposema 'Mkoa wa Simiyu hali si shwari'

    Machi 25, 2023 akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Bi. Shemsa Mohamed ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu alidai kuwa kuna watu wanapotea pasipo kujulikana wanapoelekea ndani ya Mkoa huo. Pia akabainisha kuwa kuna matukio ya wizi yameongezeka hasa maeneo ya nyumbani wakati...
  15. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mungu aliumba jinsia mbili, mwili moja ni kujamiana, kwanini makanisa yanatumia maneno haya kulazimisha ndoa ya mke moja kinyume na utaratibu wa Mungu

    Ukweli huwa haubadiliki hata watu wengi wakiamini uongo ama kudanganywa bila kujua. Suala la makanisa kutumia hayo maneno ni upotoshaji mkubwa Mungu alimuumba mwanaume na mwanadamu, Hapo kinachozungumziwa ni jinsia alizoumba, hakukuwa na jinsia ya tatu, hapa sioni kama kuna valid point...
  16. Engager

    JamiiForums Tanzania Nitajie kitu kimoja Mungu aliumba/ aliweka hapa duniani kinavutia kutazama zaidi ya Mwili wa mwanamke

    Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama. Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
  17. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kabla hujafa/kupoteza uhai katika ulimwengu huu wa mwili na roho

    1. Usingizi 2. Ndoto 3. Mateso 4. Ridhiki 5. Afya 6. Uhuru • Ushawai kuota ndoto yenye mateso,haya unatambua kuwa usingizi ni nusu kifo? na ushawai kuota umeumwa na unapelekwa hospitalin ila gafla ukashutuka na ukajikuta uko na (Afya njema kabisa🙏) ukaamka na kwenda kutafuta Ridhiki, unapata...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya watumishi ni hatari kwa uchumi na afya ya akili na mwili

    Kwa muda niliofanya kazi serikalini (TAMISEMI) nimeona shida hii kwa watumishi wenzangu. 1. Ni kweli mikopo ina msaada kwa watumishi walio wengi kwa sababu bila mkopo, hawa watumishi wa local government wangeendelea kutia aibu na kuonekana ni watu masikini sana, kumbuka 75% take home za sisi...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua? Unaweza kulipa Tsh. Milioni 468 kugandisha mwili wako baada ya kifo ili uje kufufuliwa baadaye

    Kama ulidhani Baridi kali inatumika kuhifadhi Bidhaa pekee ili zikae muda mrefu bila kuharibika, fikiria upya. Teknolojia mpya iitwayo 'Cryonics' imeanza kujipatia umaarufu kwa kutunza Miili ya Watu waliofariki huku wakiwa na matumaini ya kufufuliwa siku zijazo. Gharama za kugandisha Kichwa...
  20. Papasa

    JamiiForums Tanzania Mwili wa mwanamme waokotwa Mto Msimbazi

    Kuna mzee mmoja alisema haya hayata tokea tena sasa imekuaje tena. === Kwa mujibu wa Maelezo ya Polisi, mwanaume huyo alisombwa na maji wakati akijaribu kuvuka kutoka upande mmoja wa mto kwenda upande wa pili. Ndugu wa Marehemu wameweza kuutambua mwili huo ambao kwa sasa ulikuwa umeanza...
Back
Top Bottom